Rais Magufuli: Upinzani wa sasa umebadilika

Molemo,
Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!!

ACT wazalendo walau wana umakini kidogo!
Muogope sana mtu asiyekata tamaa, huwa anabuni mbinu kila uchwao na mara nyingi huwa ana piga mapigo ya chini kwa chini, ulishawahi kufikilia wapinzani bila kupigwa kolabo serikali na CCM CDM ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom