Rais Magufuli: Upinzani wa sasa umebadilika

Molemo,
Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!!

ACT wazalendo walau wana umakini kidogo!
Uzuri Mwenyekiti wako anaelewa nguvu ya Chadema...

Ameua

Amepiga risasi wabunge kwa lengo la kuua

Ameteka

Ametesa

Amenunua wabunge

Amenunua madiwani

Amevuruga chaguzi

LAKINI CHADEMA IKO VILEVILE, INTACT, NA INAZIDI KUPENDWA NA KUPENDEZA

Kakojoe Ulale Shehe wangu!
 
Kama chato kwao viongozi wa mtaa na halimashauri ni chadema ambako ndio kulimtambulisha sembuse mahala pengine
 
Uzuri Mwenyekiti wako anaelewa nguvu ya Chadema...

Ameua

Amepiga risasi wabunge kwa lengo la kuua

Ameteka

Ametesa

Amenunua wabunge

Amenunua madiwani

Amevuruga chaguzi

LAKINI CHADEMA IKO VILEVILE, INTACT, NA INAZIDI KUPENDWA NA KUPENDEZA

Kakojoe Ulale Shehe wangu!
Bwashee una uhakika Chadema inapendwa?!
 
Hujitambui tu

Hivi Molemo umehadaika na alichokuwa anazungumza Magufuli jana? Kumbuka yeye ndio ananyooshewa vidole kuharibu chaguzi hapa nchini, kwakuwa anajua uchaguzi huo una jicho la kimataifa, hivyo anatumia lugha ya ulaghai ili kuonyesha kuwa anahofu na huo uchaguzi kwani kuna ushindani wa kweli, jambo ambalo sio kweli. Ni kweli umesahau kuwa ni miezi miwili toka uchaguzi uliopita ubakwe na hakuonyesha kujali? Kama wapinzani tutakubali kushiriki uchaguzi bila kudai tume huru ya uchaguzi, utakuwa ni ujinga wa hali ya juu maana kilio cha kufanyia uhuni kitakuwa kile kile.
 
Ujinga mtupu ,unaukuza upinzani kwa lazima?,eti kura million 6,pathetic
Mwenyekiti wa CCM na Rais John Magufuli amekionya chama chake kisibweteke kwani upinzani wa sasa unatisha kutokana na mikakati yake

Akiwahitubia viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini jijini DSM hapo jana Rais amesema wapinzani wa leo wamebadilika na wana mikakati ya hadharani na ya siri katika mapambano ya kutwaa madaraka

Ingawa Rais hakutaja chama chochote kwa jina lakini ni hivi karibuni chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kilifanya mkutano mkuu wake uliovunja rekodi kwa jinsi ulivyopangiliwa vyema na hatimaye ikagundulika kwamba kwa sasa chama hicho kina wanachama wenye kadi milioni 6 na nusu kutokana na operesheni yake ya Chadema ni Msingi iliyofanyika nchini kote kimyakimya kwa miaka miwili.
View attachment 1333871View attachment 1333872View attachment 1333873

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ziara ya Lissu Ulaya na marekani plus mabalozi waliokaa juzi kea pamoja wameanza kuonesha impact.

Ni hofu au anajitetea na kutafuta huruma?
 
Hujitambui tu
Magufuli hofu yakr dhidi ya chadema haijaanza leo. Ni mtu pekee amewez ku-organize vyombo vy ulinzi na usalama kwa gharma kubwa kuhakikisha chadema inapotea lakini hata hivyo anazidi kuona maajabu invyochanua kama maua ya mvua za vuli
 
Molemo,
Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!!

ACT wazalendo walau wana umakini kidogo!
Inabidi tuwe tunafikiria vizuri. Upinzani sio viongozi ni fikra. Magu anajua alishinda kwa 58% kuna wapinzani wengi sana Tanzania na kipimo ni watu sio viongozi. Moyoni na fikra za watu ndiyo muhimu kuliko ubunge wala udiwani. Sudan, Egypt kote huko hawajaondolewa na chama bali watu. Lazima ujue Magu anaongelea nini sio viongozi au hata vyama anaongelea watu.
 
Mwenyekiti wa CCM na Rais John Magufuli amekionya chama chake kisibweteke kwani upinzani wa sasa unatisha kutokana na mikakati yake

Akiwahitubia viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini jijini DSM hapo jana Rais amesema wapinzani wa leo wamebadilika na wana mikakati ya hadharani na ya siri katika mapambano ya kutwaa madaraka

Ingawa Rais hakutaja chama chochote kwa jina lakini ni hivi karibuni chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kilifanya mkutano mkuu wake uliovunja rekodi kwa jinsi ulivyopangiliwa vyema na hatimaye ikagundulika kwamba kwa sasa chama hicho kina wanachama wenye kadi milioni 6 na nusu kutokana na operesheni yake ya Chadema ni Msingi iliyofanyika nchini kote kimyakimya kwa miaka miwili.
View attachment 1333871View attachment 1333872View attachment 1333873
Mkuu kwa kauli hii ameona mbali na nikuunganisha kauli ya no hate no fear napata jibu Ccm mkimchanganya Mwenyekiti wenu anaweza Fanya mahamuzi magum na 2020 akagombea kupitia vyama mbadala na hapo ndo Ccm inaweza kufa ndani ya sekunde kabla ya dakika mkikataa sawa ila tunza kumbukumbu na endeleeni kumvuluga moto utawaka
 
Mwenyekiti wa CCM na Rais John Magufuli amekionya chama chake kisibweteke kwani upinzani wa sasa unatisha kutokana na mikakati yake

Akiwahitubia viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini jijini DSM hapo jana Rais amesema wapinzani wa leo wamebadilika na wana mikakati ya hadharani na ya siri katika mapambano ya kutwaa madaraka

Ingawa Rais hakutaja chama chochote kwa jina lakini ni hivi karibuni chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kilifanya mkutano mkuu wake uliovunja rekodi kwa jinsi ulivyopangiliwa vyema na hatimaye ikagundulika kwamba kwa sasa chama hicho kina wanachama wenye kadi milioni 6 na nusu kutokana na operesheni yake ya Chadema ni Msingi iliyofanyika nchini kote kimyakimya kwa miaka miwili.
View attachment 1333871View attachment 1333872View attachment 1333873
Tulishaonya mapema sana , huyu kumng'oa jukwaani kunahitaji siku 14 tu , aondoe polisi kwenye viwanja vya mikutano aone moto .
 
Back
Top Bottom