Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,104
- 47,084
kaka ndivyo atakavyo famya wakati wa kuridi atapanda mdege. overAcha kusifia Ujinga. Kuna msemo unasema " Kama Elimu ni gharama, Jaribu Ujinga"
Kumbuka Usalama ni gharama. Ili uweze kuwa Salama ni lazima uwe stable, reliable and trustworthy. Ni lazima usome Mazingira na nyakati hata kama unawalinzi wa namna gani...,
Unadhani "Commando Mamadou Toure" hakuwa na walinzi pale Beni wakati anauwawa? Uliza aliuliwa na watu gani? Na kifaa gani kilimuua?
Hakuna watu wanafki kama warwanda. Nimekaa Congo na jirani ya maeneo ya Rwanda; I understand these people very well.
Kuna vitu vya kupunguza gharama , na vitu vingine sio vya kupunguza gharama.
Anachofanya Rais ni kutafuta sifa kwa kujifanya baharia ( kurisk maisha) ; kuishi kwa mazoea wakati ulimwengu umebadilika.
Waovu wa sasa wanatafuta headlines na si kitu kingine. Safari kama hizo hapaswi kuzitangaza , ; atangeze zile anazokwenda na ndege.
Mnawapa Magaidi opportunity na hamu ya kuwekeza TANZANIA...,
Ushauri; Afanye kama Rais wa Cameron, yeye huwa anasafiri , mfano ;- kutoka Mwanza hadi dodoma hupanda gari huku akiwa na wanajeshi wakutosha then wakati wa kurudi hupanda ndege; safari zake za gari huwa hazitangazwi
MAGUFULI aache kutafuta sifa mpaka kwenye mambo ya Usalama. Ukibana gharama mpaka kwenye Usalama maana yake nini?