Wameajiriwa kwa ajili gani?Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
historia ipo ili ivunjwe kujiamini kupita kiasi ni kuharibu kaziHivi mkuu nikuulize kidogo wewe na Mheshimiwa Magufuli nani anachungu wa maisha yake? hivi unadhani yeye ni mjinga wa kiasi unachofikiri kwani vita na watu kaanza baada ya kuwa Rais kumbuka alivyokuwa ujenzi ni watu wangapi walilia baada ya kuvunjiwa na wakajiapiza kuwa ataona hatimaye amekuwa Rais ulisha sikia hata gari yake imepata pancha kama ya mkwere ilivyokuwa inachomoka matairi ???? Sasa kwa taarifa yako amini Magufuli habahatishi kokote anakokwenda na kila analofanya ana uhakika nalo mimi sina hata chembe ya shaka juu yake wale walinzi ni kama kiungo tu kwenye mboga ila ulinzi ni wa Mungu ambao anao Magufuli. Keep in mind that No one can protect you than yourself.
Hata Uhuru Kenyatta alisafiri kwa Barabara kutoka Nairobi, mpaka Arusha, then akapitia Moshi, Rombo, Nairobi.. Hakuna jipyaTabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
Wanapozungumzia ulinzi wa Rais halafu unaleta habari za walinzi wa Chadema ni ujinga wa kiwango cha juu has a.Walinzi ndio washauri wake wa hayo mambo wanaoshauri hivyo kuwa asafirije.Fani za watu hizo achana nazo.
Usafiri hata wa anga kabla ya kusafiri wanausalama lazima wakwambie tumia.Hata angani si salama hujasikia maraisi ndege zao kutunguliwa.
Walinzi wanajua cha kufanya waachie kazi yao.Si watu wa kuchoka hovyo.Walinzi wa RAISI UNAFIKIRI ni sawa na walinzi wa CHADEMA wale wanaovaa miwani ya kuchomea magrill?
CHEKI WALINZI WA CHADEMA NA MIWANI YAO YA KUCHOMEA VYUMA
![]()
Walinzi ndio washauri wake wa hayo mambo wanaoshauri hivyo kuwa asafirije.Fani za watu hizo achana nazo.
Usafiri hata wa anga kabla ya kusafiri wanausalama lazima wakwambie tumia.Hata angani si salama hujasikia maraisi ndege zao kutunguliwa.
Walinzi wanajua cha kufanya waachie kazi yao.Si watu wa kuchoka hovyo.Walinzi wa RAISI UNAFIKIRI ni sawa na walinzi wa CHADEMA wale wanaovaa miwani ya kuchomea magrill?
CHEKI WALINZI WA CHADEMA NA MIWANI YAO YA KUCHOMEA VYUMA
![]()
Ha ha ha! Hayo, umesema wewe!Ni kupoteza muda wa kuwafanyia kazi watanzania.kwani akitumia ndege tatizo liko wapi?au ndo zile rumors kwamba ana aleji na ndege?
Mambo mengne yapo juu ya uwezo wako huwez na hutoweza kuyajua mpaka unaenda kaburin..
Suala la ulinzi na usalama kwako ww ni sawa na mtu aliyehai kuelezea yalio ndan ya umauti..
Ww bwabwaja tu hapa jf lakn wapo wenye nchi hii ambao kila nukta inayopita wanajua yote yanayotokea na yatakayo tokea
Hajui kitu..Ajiulize wale maraisi waliouawa kabla ya genocide Rwanda walikuwa wamepanda nini..Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
Hakuna ulinzi salama asilimia 100; mwache ajitanue na walinzi wafanye kila linalowezekana; mwisho wa siku hakuna mlinzi bora na salama zaidi kuliko Mwenyezi Mungu; atakuwa salama kwa jina la Yesu!Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
Yawezekana ana matatizo ya kiafya pia. It means akipanda ndege ni matatizoSi anataka sifa hili watu waone anabana matumizi? Ila yote yanawezekana mchana kula ugari na nyanya chungu, (si wote tunaona?) usiku (tukilala) ukala wali kuku! Hapa kazi tu!
Siku zote watu hawanaga zuri hata angeenda na ndege au mguuuu ungesema pia najuwa wtu hatunaga kizuriSi anataka sifa hili watu waone anabana matumizi? Ila yote yanawezekana mchana kula ugari na nyanya chungu, (si wote tunaona?) usiku (tukilala) ukala wali kuku! Hapa kazi tu!