Ni kweli mkuu Marais wengi wa Afrika walinzi wasioonekana huwa wengi zaidi ya wale wanaoonekana live , mila na desturi huzingatiwa zaidi.Raisi hulindwa na walinzi wanaoonekana na wasioonekana.Wasioonekana ni wengi kuliko wanaoonekana.Hapa naona wengi wanaongelea tu ulinzi unaoonekana!!!!!