Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

Kumbe ngoyai angeshinda mambo yangekua hawn hwan ee ansate tume mpenda wenyew ata akitembe kwa mguu inakuhusu nn...
Apa kazi tu
 
Okay, nimekuelewa!

Je! Yeye ni rais wa kwanza kutumia barabara Tanzania?! Unakumbuka Nyerere, na Mwinyi na hata Ben walitumia usafiri gani mara nyingi?!Navyojua, rais aliyetumia anga mara nyingi ni JK.

Labda uniambie ni nini kimebadilika kwa watanzania wa leo, kiasi cha kuanza kutilia shaka usalama wa Rais wetu huyu kipenzi?!

Je! Ni chuki zenu binafsi kwa namna anavyojaribu kuitengeneza Tanzania au nini?!

Mnanishangaza sana! Kila atakachofanya rais, ninyi mnasema anatafuta sifa! Mnataka afanye nini?!

Issue, hata usafiri wa anga, unaweza kutunguliwa tu.

By the way, sijaelewa hapo mwisho ulipowaingiza Wanyarwanda!
Ndugu, MTU mwenye uelewa hawezi kupoteza muda wakati Taifa linanuka kiasi hiki.

Masaa sita barabarani na nyumbani kwako ni kuchafu? Kama sio kutafuta sifa ni nini? It means haelewi nini anafanya!

Anatafuta headlines bila kujali kuwa kuna watu waovu wanazitafuta hizo headlines ; tena wanatafuta watu kama yeye...

Hilo ndilo tatizo la kukosa Elimu ya " Time Management " ;

MTU wa namna hii ni vigumu sana kufanya Kazi na Mzungu!

Muda ni Mali! Yeye anauchezea, then anakuwa wa kwanza kusema " Hapa Kazi Tu".

Ningemuelewa kama angeenda mapema, akafanya Kazi huko haraka tena pasipo kulala huko kama wafanyavyo vikojozi wanapoenda ugenini. Then akarudi jioni ya leo...na mambo ya kujenga nchi yakaendelea.

Kiufupi , anapenda sifa sana na sina hakika anashaurika; anachotaka ni headlines; Na mpaka sasa haelewi anayoyafanya anajichimbia shimo kubwa la kiasi gani...

Asante!
 
Umenena mkuu!! Sema njoo vile , Magu anaamin ktk barabara wakat iko complicated than njia ya anga!!! May be tusubir atakapoanza kwenda Ulaya picha litakavyokuwa, utasikia wengne , et magu hatoenda Ulaya maisha!!
 
Mkuu hao peke Yao bila nguvu za Mizimu hawawezi kupambana na watu wa kazi pindi wakiamua kuleta Majanga , walinzi wakubwa wasioonekana kwenye macho ya kawaida ndiyo wanafanya kazi kubwa, kumbuka Kipindi cha Nyerere alikuwa akibadili njia ghafra na hata alipofika sehemu watu wote miili iliwasisimuka .

Sio Nyerere wala Magufuli wanaoamini katika vitu visivyoonekana.Kama mmesahau niwakumbushe nyuma kidogo mwl.Nyerere aliwahi kuwaambia watanzania ni mpumbavu tu anaeweza kufikiria kumdhuru.Magufuli alisema amejitoa mhanga kwa ajili ya nchi hii na ndio maana kila hotuba yake anaomba watanzania wamwombee ulinzi kwa Mungu. Ulinzi wa raisi nakubali ni wa hali ya juu ila haupo ulinzi wa binadamu usiosimamiwa na Mungu mwenyewe.Kumbuka papa nae ana ulinzi makini ila mwovu mmoja aliweza kupenya na kumdhuru papa kwa kisu na papa alimtangazia msamaha.Ulinzi wa ikulu ya malikia wa Uingereza ni wa hali ya juu ila alishawahi kutokea mtu akashuka ikulu kwa kutumia bomba la kutolea moshi na kuingia hadi chumba cha malkia ingawa hakumdhuru wala kumfanyia uovu wowote alitaka kumwonyesha tu malkia kuwa ulinzi wake si chochote.Raisi ana haki ya kuchagua aina ya usafiri anaotaka kuutumia.Pengine aliona atumie barabara aone na hali ya wananchi kwenye wilaya atakazopitia.Hana kipingamizi cha kutumia ndege mbona toka Dar kuja Mwz alitumia ndege?
 
Nafikiri ndege was a better option for security reason it has less risk and fast
Hakuna mlinzi wa usalama zaidi ya mungu, usafiri kwa ungo, ndege treni, basi au pikipiki kama mungu aepanga hakuna njia kifo kiko palepale
 
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
Hahhhahaa umesema point muhimu kweli, au pengine anataka apate muda wa kuchati kidogo na kuangalia movie kwenye simu na kusikiliza vipindi vyake vile vya TV Mawingu....
 
Hakuna mlinzi wa usalama zaidi ya mungu, usafiri kwa ungo, ndege treni, basi au pikipiki kama mungu aepanga hakuna njia kifo kiko palepale
Tahadhari ni jambo jema.Vitu vyengine tusitake kumsingizia mungu.
 
kiukweli tunapishana,kwa mfano kwenye mpira sisi tunakaba mtu ,wenzetu mpira wao wanakaba nafasi,hivyo hivyo kwa wazungu ulinzi wao hulinda eneo zima na sio kikitokea tukio. Sasa eneo la kysafiri masaa6unaweza kulidhibiti lote? Atumie ndege tu.

KWANI Ndege haiwezi kutunguliwa huko huko angani?
 
Akhsante Mkuu ILA Pole Sana Na Naomba Mno RADHI Kwa Kukusababishia Hiyo BAN Ila Tambua Tu Kuwa Hata Mimi Vile Vile Hizo BAN Nazipata Sana Hata Hivyo SIZICHUKII Bali Nazipenda Kwani ZINANITIA ADABU Kimtindo Lakini ZINANIJENGA Pia Kwa Namna Moja au Nyingine Hasa Katika Suala Zima La NIDHAMU Humu. Kama Utagundua GENTAMYCINE Yule Uliyemzoea Siyo Huyu Tena Nikimaanisha Kuwa NIMEJIREKEBISHA Kwa Kiasi Fulani Japo Sometimes MNANIKERA Ila Nawavumilieni. Nisamehe Mimi Kwa " Kukupigisha Shoti " Ukala Umeme ( BAN ) Wa JF.
Sawa mkuu......hivi Mh Rais bado tu hajafika huko kwenu RWANDA ???
 
mkuu umeandika vyema....kuna watu humu wanaushabiki wakijinga, wao wanasifia kila kitu, mtoa mada hakusema kama usalama ni dhaifu kiasi cha kushindwa kumlinda rais lkn alichosema anawapa kazi kubwa kuliko angetumia usafiri wa anga.... hapo kosa lake nn mpaka wanamshambulia?
Kuna msemo unasema " Don't tempt the devil to tempt you " .

Laiti kama Mimi ningekuwa Rais MAGUFULI, nchi yangu ya kwanza kuitembelea ingekuwa kati ya hizi ;- Israel, Ghana, Zimbabwe, South Africa na Ethiopia ; Ni watu wachache sana wanaoelewa siri kubwa iliyopo kwenye mataifa Haya na connection iliyopo kati yetu na yenyewe...

Si kila Kiongozi anafaa kupiga nae Selfie....

95b5cd02d772ab916af044121f6f43eb.jpg



NB; Kagame ni sawa na Nkurunzinza, Museveni , Kenyata etc ( evil people)... then unakuwa wa kwanza kuwa visit? Utarudi na laana lazima!

Ushauri; Rais ni vyema apunguze sifa na kunenepa! Anatukwaza!

67fbeac2f1a2e1c63d9207a8907c13bf.jpg
 
Its simple kufanya assassination kwenye Ndege in Africa kuliko mipango kama hiyo ya Vichakani.
Kikubwa Muombeeni kwa Mungu Rais wenu, Ana marafiki wengi na maadui wengi wenye uwezo mkubwa
kiukweli tunapishana,kwa mfano kwenye mpira sisi tunakaba mtu ,wenzetu mpira wao wanakaba nafasi,hivyo hivyo kwa wazungu ulinzi wao hulinda eneo zima na sio kikitokea tukio. Sasa eneo la kysafiri masaa6unaweza kulidhibiti lote? Atumie ndege tu.
 
Back
Top Bottom