Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

Ni vigumu sana kuamini ulinzi wa binadamu wenzio isipokuwa ulinzi wa "Mwenyezi MUNGU" tu...Aidha kama kuna mnyama hatari na asiye aminika duniani basi mnyama huyo ni "binadamu"..Muhimu kuliko.."Sumu" haijaribiwi kwa kuilamba!!
 
Siku zote watu hawanaga zuri hata angeenda na ndege au mguuuu ungesema pia najuwa wtu hatunaga kizuri

Ndio maana mkwere wa msoga alikuwa haagi mtu safari zake kimya kimya mnona mapicha tu Kwenye Instagram amepiga na BoyzIIMen baasi anakula bata anarudi zake home kimya kimya ahahahahahah
 
Aliyepanda ndege kila uchao tulimsema, kaja huyu mpanda gari kwa nadra, tunamchukia! Kumridhisha binadamu ni kazi ngumu sana.

ImageUploadedByJamiiForums1459961424.545966.jpg
 
muheshimiwa rais anasabau zake nyingi tu,labda angekuwa ameziweka wazi naiman tungepata chakuongea!! Tofauti na hapo,tz ulinzi upo wakutosha tena sana

Yote katika yote, Watanzania ni wapole na wapenda amani ndio maana viongozi na walinzi wao wanabweteka na kuona hakuna chochote cha hatari kinachoweza kutokea. Unaweza kuung'amua ulinzi madhubuti na mafanikio ya upelelezi wa tukio la uhalifu likitokea bila kutegemewa. Ulinzi nchini mwetu unazingirwa na usingizi wa pono. Matukio ndio huamsha walinzi usingizini. Walinzi jipangeni. Mtoa mada ana jambo jema.
 
Sababu zipo nyingi sana. Moja ni hii hapa..

0b6068772a694756b0417b11718f7f4f.jpg
Aisee nlifikiria utakuja na sababu kwamba hao unaowaita walevi ,wala rushwa ,sijui hawana maono walishindwa kumlinda raisi akadhurika nk ,unaleta picha ya Magufuli akiwa na silaha yake aliyotoka kuihakiki ku justify kwamba wana usalama wote hawana maono ,walevi,sio wabunifu ...haya bana mkuu asante sana kwa darasa lako
 
Majibu ya Hisia
 
Sifa kubwa ya MTU wa Usalama ni kuishi juu ya Hisia zake. MTU wa namna hii lazima awe na Visions.

Vision ni Mama wa Usalama. Mwl. NYERERE alikuwa mwana Usalama mzuri sana.

Kiufupi; Huwezi kuwa na sifa hizo kama wewe ni Malaya, mzinzi, mlevi, muongo, sio Mcha Mungu, etc
 
Nimeona habari itv amepunguza vituo vya ukaguzi wa magar yaendayo rwanda unadhani angesafiri na ndege angeviona lini hvyo

Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?

Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.

Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.

Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?

Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
 
Walinzi ndio washauri wake wa hayo mambo wanaoshauri hivyo kuwa asafirije.Fani za watu hizo achana nazo.

Usafiri hata wa anga kabla ya kusafiri wanausalama lazima wakwambie tumia.Hata angani si salama hujasikia maraisi ndege zao kutunguliwa.

Walinzi wanajua cha kufanya waachie kazi yao.Si watu wa kuchoka hovyo.Walinzi wa RAISI UNAFIKIRI ni sawa na walinzi wa CHADEMA wale wanaovaa miwani ya kuchomea magrill?

CHEKI WALINZI WA CHADEMA NA MIWANI YAO YA KUCHOMEA VYUMA
Mbeya3.jpg
cheki yule jamaa kwenye ukuta..hivi walikua wanalipwa sh. ngap hawa
 
Be open but not naked...!
haiwezekani Rais aseme malengo yake yote ya kufanya hivyo! zaidi yeye anasema tumuombee kwa Mungu ili amlinde na atutumikie watz! Binadam tuna maneno mno hats angefanyaje tungesema tu! ooh kila Siku anasafiri na ndege! teh teh ...!
 
Walinzi ndio washauri wake wa hayo mambo wanaoshauri hivyo kuwa asafirije.Fani za watu hizo achana nazo.

Usafiri hata wa anga kabla ya kusafiri wanausalama lazima wakwambie tumia.Hata angani si salama hujasikia maraisi ndege zao kutunguliwa.

Walinzi wanajua cha kufanya waachie kazi yao.Si watu wa kuchoka hovyo.Walinzi wa RAISI UNAFIKIRI ni sawa na walinzi wa CHADEMA wale wanaovaa miwani ya kuchomea magrill?

CHEKI WALINZI WA CHADEMA NA MIWANI YAO YA KUCHOMEA VYUMA
Mbeya3.jpg
hii picha ndio inatoka taswira halisi ya wafuasi wa cdm..mchana wa jua na koti la mvua si unyumbu huo..kisa kuonekana mfia chama
 
We mleta mada binafsi sijakuelewa sasa ulitaka walinzi wamlinde anapo kwenda chooni?! halafu hawatesi ndiyo kazi yao na
Kikubwa wapiga kura wake hawapo angani
 
Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?

Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.

Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.

Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?

Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
Umesahau JK alipanda Ngalawa na nini? Wanaachaga hawa baada ya muda n huyu JPM ataacha tu muda si mrefu
 
Kuna uwezekano tz na Dr Congo mahusiano yakapungua
 
Back
Top Bottom