Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

Ni hatari kwa umbali huo kusafiri kwa njia ya barabara hasa ukanda huo ambao una matukio ya utekaji wa Mara kwa Mara
Sasa ninyi mwataka raia wa kawaida ndo wafe/wadhulike tuu.
Kafanya ivyo makusudi ili vyombo vya usalama vifanye lacking ya kutosha ilo eneo ili liwe salama si kwa raisi tuu bali ata ka raia wa kawaida.
 
Magufuli anawatesa kila mtu kwa moja kwa moja au indirect..... mambo mtaani magumu .... biashara haziend... mzigo hautoki kama zamani dukani... ni miez sita tu kashika hatamu na mambo yashaanza kuzingua.
wadhamini wetu washaanza kusepa, bandarini shughuli za kibiashara zinashuka kwa asilimia kubwa tu....

niko nje ya mada lakini Rais wangu inabidi aangalie vizuri kuhusu kupunguza government expenditure kuna athali gani kwa sekta binafsi
Wapemba kkoo wanafunga maduka
 
Ni kweli mkuu ndiyo maana Afrika Mizimu huwekewa Mbele zaidi , mfano Kwa Sasa kule misituni kuna Koboko Kama 1000 wapo wanalinda akikatiza mwenye nia mbaya anagongwa kimya kimya anapotea , Mizimu imeimarisha Ulunzi usioonekana Kwa speed ya radi .
Hahaaaaaaaaa
 
Wabongo kwa kusifia vitu utawapenda, likitokea kinyume chake wanalaum mpaka unawachukia. Utaratibu anaotumia magufuri kusafiri kwa barabara masaa zaidi ya sita kama rais siomzuri kiusalama, kiafya na kigharama. Asije akadhani yeye anapendwa na wananchi kuliko Kikwete bado hajanfikia mkwere.
 
Kwani hamjui kuwa magu ni kama Denis bergkamp wote wanaogopa kupanda ndege sio ishu ya ubanaji matumizi ni kuwa tu yeye ni Muoga wa ndege. Ndio nimenong'onezwa hvy
 
kutungua ndege ni rahisi sasa kivita. imekuuma sana babako/ dadako ni mlinzi wake?
 
u
Acha kusifia Ujinga. Kuna msemo unasema " Kama Elimu ni gharama, Jaribu Ujinga"

Kumbuka Usalama ni gharama. Ili uweze kuwa Salama ni lazima uwe stable, reliable and trustworthy. Ni lazima usome Mazingira na nyakati hata kama unawalinzi wa namna gani...,

Unadhani "Commando Mamadou Toure" hakuwa na walinzi pale Beni wakati anauwawa? Uliza aliuliwa na watu gani? Na kifaa gani kilimuua?

Hakuna watu wanafki kama warwanda. Nimekaa Congo na jirani ya maeneo ya Rwanda; I understand these people very well.

Kuna vitu vya kupunguza gharama , na vitu vingine sio vya kupunguza gharama.

Anachofanya Rais ni kutafuta sifa kwa kujifanya baharia ( kurisk maisha) ; kuishi kwa mazoea wakati ulimwengu umebadilika.

Waovu wa sasa wanatafuta headlines na si kitu kingine. Safari kama hizo hapaswi kuzitangaza , ; atangeze zile anazokwenda na ndege.

Mnawapa Magaidi opportunity na hamu ya kuwekeza TANZANIA...,

Ushauri; Afanye kama Rais wa Cameron, yeye huwa anasafiri , mfano ;- kutoka Mwanza hadi dodoma hupanda gari huku akiwa na wanajeshi wakutosha then wakati wa kurudi hupanda ndege; safari zake za gari huwa hazitangazwi

MAGUFULI aache kutafuta sifa mpaka kwenye mambo ya Usalama. Ukibana gharama mpaka kwenye Usalama maana yake nini?


uko sahihi
 
Watanzania, bwana...kazi kwelikweli, yaani wanajua kila kitu...Hivi wewe unadhani RAIS anakurupuka tu kusafiri?! Itabidi utafutwe ili utoe ufafanuzi zaidi uwasaidie PSU kuhusu masuala ya ulinzi.
Labda mtoa mada anafikri safari ya Rais inapanwa na mke wake mkuu.....msamehe tu haelewi
 
Back
Top Bottom