Mkuu, Kagame kamualika Magufuli.NB; Kagame ni sawa na Nkurunzinza, Museveni , Kenyata etc ( evil people)... then unakuwa wa kwanza kuwa visit? Utarudi na laana lazima!
chief, acha uoga bana.Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
ha ha haaaaaaa hivi hawa walinzi au wazungusha mikono, ulinzi mchezo nini,Walinzi ndio washauri wake wa hayo mambo wanaoshauri hivyo kuwa asafirije.Fani za watu hizo achana nazo.
Usafiri hata wa anga kabla ya kusafiri wanausalama lazima wakwambie tumia.Hata angani si salama hujasikia maraisi ndege zao kutunguliwa.
Walinzi wanajua cha kufanya waachie kazi yao.Si watu wa kuchoka hovyo.Walinzi wa RAISI UNAFIKIRI ni sawa na walinzi wa CHADEMA wale wanaovaa miwani ya kuchomea magrill?
CHEKI WALINZI WA CHADEMA NA MIWANI YAO YA KUCHOMEA VYUMA
![]()
Ningemuelewa kama angeenda mapema, akafanya Kazi huko haraka tena pasipo kulala huko kama wafanyavyo vikojozi wanapoenda ugenini. Then akarudi jioni ya leo...na mambo ya kujenga nchi yakaendelea.
Vua miwani - kisha - soma taratibu- ; then utaelewa nilichokiandika. Acha ujuaji!Ratiba yake ya kazi unaijua? Hata hiyo ratiba ya ziara unaijua?
Huko njiani pia ana kazi zake za kufanya.Au unawaza tu ofisi kuwa ni ikulu tu? Ulivyoongea unawaza kuwa raisi kazi zake anafanyia ikulu tu!!!!!!!
Hata kama kamualika, ; MTU mwenye Uelewa ambae naielewa "first impression".. Angeweza kwanza kwenye taifa muhimu kama nilivyotolea mfano;- then ndio akaenda kwa kagame.Mkuu, Kagame kamualika Magufuli.
Sawa mkuu......hivi Mh Rais bado tu hajafika huko kwenu RWANDA ???
Sifa ya nini sasa kama sio kwamba una low thinking capacitySi anataka sifa hili watu waone anabana matumizi? Ila yote yanawezekana mchana kula ugari na nyanya chungu, (si wote tunaona?) usiku (tukilala) ukala wali kuku! Hapa kazi tu!
Mkuu hauna hata mdogo wako Wa kinyarwanda ......aiseeAtafika Baadae Mkuu Anywe Angalau Maziwa Na Asali Ili Akirudi Huko Kwenu Basi Awaongoze Vizuri Zaidi Na Mzidi Kumpenda Kama Sisi WANYARWANDA Wote Huku Tunavyompenda.
Hata kama kamualika, ; MTU mwenye Uelewa ambae naielewa "first impression".. Angeweza kwanza kwenye taifa muhimu kama nilivyotolea mfano;- then ndio akaenda kwa kagame.
Asante Ndugu, futeni na mwenge kabisa!Kazi za uraisi anazifanyia popote kwa taarifa yako ndio maana unaona saa hii yuko rwanda huku akina Dau wanatumbuliwa kama kawaida.Wewe uwezo wako wa kufikiri ni kuwa Raisi anafanya kazi akiwa magogoni ikulu tu akiwa Rwanda au Chato hafanyi kazi yuko kwenye honey moon!!!!!!
Uwezo wako wa kuelewa mambo mdogo mno.
Duh.. Mkuu sasa kama binadamu tutaishi kwa kuhofia kufa tena itakuwa haina maana kwani hata ulipo zaliwa wewe huku umbwa uishi milele. Anyway.. Usalama ni popote pale. Hata hiyo Rocket Grenade inaweza kutungua ndege. Sioni hoja yako ipo wapi. Askari kusafiri njiani kwa masaa 6 kwenye bara bara za lami sio issue. Wapo askari huko Jangwani zaidi ya miezi 6 wakiendeleza mapambano. Issue ya masaa 6 kwa kuiita jipu ungeilinganisha na masaa ya Kikwete pindi akiwa kwenye ndege kwa safari za mwezi mmoja ungeziita cancel. Tumuombee mema na mungu amtangulie katika safari zake.Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
Haya majina bwana eti Nyakanazi....mmmhhAnd that's the problem. Hao viongozi wasipotembea kwa magari..matatizo yetu watayajuaje? Mfano barabara ya Nyakanazi kwenda Rusomo imeharibika vibaya mno...naamini Magufuli akipita pale lazima kazi ifanyike....yes ndege ni nzuri lakini ni vema viongozi wetu wakatembea kwa barabara pia.wakayaona matatizo yetu huko wanakopita.
Oh! Nilichogundua hapa, tatizo ni chuki dhidi ya Kagame na sio Magufuli kutumia batabara.Kuna msemo unasema " Don't tempt the devil to tempt you " .
Laiti kama Mimi ningekuwa Rais MAGUFULI, nchi yangu ya kwanza kuitembelea ingekuwa kati ya hizi ;- Israel, Ghana, Zimbabwe, South Africa na Ethiopia ; Ni watu wachache sana wanaoelewa siri kubwa iliyopo kwenye mataifa Haya na connection iliyopo kati yetu na yenyewe...
Si kila Kiongozi anafaa kupiga nae Selfie....
![]()
NB; Kagame ni sawa na Nkurunzinza, Museveni , Kenyata etc ( evil people)... then unakuwa wa kwanza kuwa visit? Utarudi na laana lazima!
Ushauri; Rais ni vyema apunguze sifa na kunenepa! Anatukwaza!
![]()
Are you serious? Toka lini Nyumba yenye matembe tena iliyozungushiwa uzio wa nyasi ikawa Salama? You must be kidding!!!Tanzania inachukua nafasi ya tatu kwa ulinzi wa Rais ikitanguliwa na Misri nafasi ya kwanza, South Africa nafasi ya pili hivyo ulinzi ni hakika. Hata hivyo kujiamini kupita kiasi inaweza kuwa ni mwanya wa adui kukumaliza.