unaongea usichokijua mara ngapi wanausalama wanamshauri hasikii mfano wakati anatoka Dodoma kuhutubia bunge kulazimisha kupanda,gari lisilo na vioo tinted ili watu wamuone aliambiwa lakini akabishaWatanzania, bwana...kazi kwelikweli, yaani wanajua kila kitu...Hivi wewe unadhani RAIS anakurupuka tu kusafiri?! Itabidi utafutwe ili utoe ufafanuzi zaidi uwasaidie PSU kuhusu masuala ya ulinzi.
Mkuu sentensi yako ya mwisho ni kama unachekesha hivi....lakini kuna Ujumbe mzito sana!!!!!!!!!!!Si anataka sifa hili watu waone anabana matumizi? Ila yote yanawezekana mchana kula ugari na nyanya chungu, (si wote tunaona?) usiku (tukilala) ukala wali kuku! Hapa kazi tu!
Ni wazo lake mkuu chadema imeingiaje hapo .hivi mnadhan rais analindwa na yale mabaunsa ya chadema yasiyokua hata na akili?
Mambo mengne yapo juu ya uwezo wako huwez na hutoweza kuyajua mpaka unaenda kaburin..Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
hehee huyu jamaa yenu anacheza nadhani gharama zinaongezeka piaKwa hiyo mtazamo wako unadhani, yeye Rais ameamua kutumia barabara hivi hivi tu bila kujiandaa na kuandaliwa?!
Unafikiri suala la kumlinda anajiamulia yeye!?
Naiamini system yetu ya usalama! Ukiona wameruhusu, jua wamejiandaa; Wanajua wanachokifanya.
Au movie za porini za akina Van Damme zinakupa mawazo hayo?!
Bachi! Mimi nichicheme mengi (In mmakonde's voice)!
Mizimu ya chato ndiyo walinzi wakubwa hupeleka taarifa zote usingizini hata kukiwa na kitu kibaya humletea usingizi wa ghafra na lumpatia picha lote. Wenye ubaya wakijificha msituni lazima cobra na koboko watawapitia kabla Magufuli hajakatiza hapo , Ujue Sasa ile style Ulinzi wa Rais wa Gambia imeletwa hapa na akina January Makamba nyumbani kwake kuna Utitiri wa kamati za Ufundi za kila Aina , hata wale waliochakachua matokeo ya uchaguzi bado wapo wametumika Zanzibar kuwatuliza wapemba mpaka wakaogopa kufanya Yale ya 1995 .Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
Mizimu ndiyo walinzi namba moja wengine wanafuatia.Mambo mengne yapo juu ya uwezo wako huwez na hutoweza kuyajua mpaka unaenda kaburin..
Suala la ulinzi na usalama kwako ww ni sawa na mtu aliyehai kuelezea yalio ndan ya umauti..
Ww bwabwaja tu hapa jf lakn wapo wenye nchi hii ambao kila nukta inayopita wanajua yote yanayotokea na yatakayo tokea
Labda nikupe mwanga kidogo kuwa kabla hata ya safar hii kutangazwa secret service walishaitambua zaman sana kwahyo walishaifanyia kazi zaman sana mashushu walishatapakaa kitambo sana mpaka wanatangaza juzi wao wamehakiki kuwa ni salama japo ww uliyegizan ndio unatoka povu sasa hiviNi hatari kwa umbali huo kusafiri kwa njia ya barabara hasa ukanda huo ambao una matukio ya utekaji wa Mara kwa Mara
Mtoa mada ameeleweka vizuri sana lakini utambue Ulinzi wa Mizimu nao wanajua upo imara ndiyo maana wanakatiza misituni bila kwele.Mtoa mada kuna point unayo hasa kwa sisi wajuvi wa mambo ya kiusalama ila wengi hawajajua nini unamaanisha
Nyinyi ndio wapuuzi na wajinga kujifanya washauri kwa mambo msio yajuaWewe ni kati manungayembe namba moja humu jamvini. Watu wanazungumza sensitive issues wewe unaleta upuuzi wa kishenzi hapa.
Dadavua mleta mada ana technical faults zipi, sio kuleta njaa za buku 7 hapa!
Raisi hulindwa na walinzi wanaoonekana na wasioonekana.Wasioonekana ni wengi kuliko wanaoonekana.Hapa naona wengi wanaongelea tu ulinzi unaoonekana!!!!!Mtoa mada ameeleweka vizuri sana lakini utambue Ulinzi wa Mizimu nao wanajua upo imara ndiyo maana wanakatiza misituni bila kwele.
Mkuu hao peke Yao bila nguvu za Mizimu hawawezi kupambana na watu wa kazi pindi wakiamua kuleta Majanga , walinzi wakubwa wasioonekana kwenye macho ya kawaida ndiyo wanafanya kazi kubwa, kumbuka Kipindi cha Nyerere alikuwa akibadili njia ghafra na hata alipofika sehemu watu wote miili iliwasisimuka .Labda nikupe mwanga kidogo kuwa kabla hata ya safar hii kutangazwa secret service walishaitambua zaman sana kwahyo walishaifanyia kazi zaman sana mashushu walishatapakaa kitambo sana mpaka wanatangaza juzi wao wamehakiki kuwa ni salama japo ww uliyegizan ndio unatoka povu sasa hivi
Hahaha umempatiaMkuu nenda kajaribu kujificha kichakani na propela lako kesho uje utupe mrejesho! kama kabla ya kutoka nyumban kwako ushakalishwa chini ya ulinzi