VietnamMkuu nifafanulie hapo.
matusi ni udhaifu na sign ya poor emotional intelligence. kuliko kutukanana bora nihamie jukwaa la picha au Biashara.Hilo ndio watanzania wengi hawakielewi. Hawaelewi kwamba panahitajika kazi kubwa sana na mda mrefu zaidi ya miaka 10.
Nimefurahishwa sana na majibu yako. Hayana kebehe wala matusi, na ufafanuzi mzuri.
Tunahitaji kuelimishana na wala sio matusi au lugha chafu...
Wakulima wamefanya kazi kwa bidii kulima mbaazi walichoambulia debe sh.5600 tena kwa daresalam. sijui shamba itakuwa tsh. Ngapi?.alifafanua alichomaanisha.
uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi.
pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii, na kwa kufanya hivyo uchumi unakua.
Zangu nimezitatua tayari sasa na dili na za wanaye muita Yohana!huna haja ya kunielewa mimi mkuu. unatakiwa uzielewe changamoto zako zaidi ya watu.
Pesa kuwa ngumu maana yake ata ujitume vipi hutopata tija.Ndio maana biashara zinafungwa kila kukicha.alifafanua alichomaanisha.
uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi.
pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii, na kwa kufanya hivyo uchumi unakua.
hizo ni changamoto ambazo zinazotakiwa kutatuliwa na watawala na wakulima wenyewe kujengewa uwezo.Wakulima wamefanya kazi kwa bidii kulima mbaazi walichoambulia debe sh.5600 tena kwa daresalam. sijui shamba itakuwa tsh. Ngapi?.
Huyu mtu wenu hajui aliposimamia!! Mwanzo alisema atahakikisha gap kati ya masikini na tajiri linapungua kama si kwisha kabisa! Baadaye tulivyomshtua kuwa vyuma vinakaza zaidi akatuambia tuvumilie kwanza kwani anafanya uhakiki wa matumizi ikiwa ni pamoja na kutumbuatumbua majipu hivyo tusubiri! Mara Akaja na episode nyingine akisema kuwa wanaolalamika kuwa hali ni ngumu ni wapiga dili waliozoea kula bila jasho!!tena akadai kuwa ataendelea kubana zaidi hadi wanyooke! Tena akaenda mbele zaidi kwa kusema kama kuna mtu atabaki mjini hadi mwezi Juni/2017 basi huyo atakuwa ni mwanaume kweli kweli!! Aliposikia milio ya hali ngumu inaongezeka kutoka kila kona Akaja na pambio jipya!akatuambia kuwa kwenye vita ya uchumi lazima waumie hata wasiokuwemo!!!eti tuvumilie tena!mara akasema kuwa fedha zimeadimika kwa kuwa amebana mianya ya rushwa! Ough!! Leo tena anasema kukosa fedha za kujikidhi ndiyo uchumi mzuri!!! Tutegemee nini huko mbele?? Only God knows.alifafanua alichomaanisha.
uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi.
pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii, na kwa kufanya hivyo uchumi unakua.
Heri yao labda walikopa wakawekeza huko kuliko sie tunakopa kwa ajili ya mapanga shaa1usd=35000Iranian Rial hapo vp,,na wana nuclear hao
sijamuona na hiyo luxurious life sijaiona mkuu, kama umeiona na unauthibitisho weka tujadili mara ya mwisho nimeona wakinywa juice kwa pipi labda kama unazungumzia hiyo.
..
Hadi dakika tisini ziishe mtakuwa mmekaukiwa maji mwilini! Hakuna kazi ngumu kama kutetea upumbavu!hayo ni matatizo mengine...
ila vile ndivyo nilivyomuelewa...
wapi hao wanao free-ride...
kupungua inaweza kuwa kweli kwa sababu pesa nyingi zinapelekwa kwenye econimic stimulators (miradi mikubwa) na upungufu wa pesa haramu mitaaani. system itakapokaa sawa kunakuwa na purchasing power nzuri tu ambayo ni product ya kazi halali na sio halali mchanganyiko na ujanjaujanja.
Na sukari ilikuwa 5000 na sasa hivi nasikia inakimbilia 1000!!Yuko sahihi! Mfano soda ilikuwa inakimbilia 1000, sasa hivi imeshuka imekuwa mia tano
Wachache sana watakuelewa ila wengi watakutukana.Ni sawa kabisa upungufu wa hela husababisha thamani ya hela kupanda...