introvert
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,372
- 2,416
Pesa kuwa ngumu inasababisha kupungua kwa "purchasing power" ya wananchi.
Kushuka kwa purchasing power inasababisha upungufu kwenye uzalishaji wa bidhaa na huduma. Kwa nini uzalishe kama hakuna wanunuzi?
Uzalishaji ukishuka inasababisha uchumi kuanguka. Hii inaleta matatizo.
Kwanza tatizo la ajira linaongezeka (tunashuhudia hili sasa makampuni yakipunguza watu kazi).
Pili faida ya makampuni hupungua na hivyo makampuni hayawezi kukua na pia pato la Serikali kupitia kodi linapungua.
Uzalishaji ukipungua in the long run husababisha scarcity ya bidhaa na huduma.
Pia kudumaa kwa uzoefu na uwezo wa working age population. Hii ni hatari kwa usalama wa taifa kwa kuangalia population ya vijana, elimu na ajira.
Wanaosema bei ya bidhaa imeshuka na hivyo uchumi unakuwa wanashindwa kuelewa bei haijashuka kwa sababu ya increased production (supply) bali ni kwa sababu ya kushuka kwa purchase power.