Rais Magufuli: Uchumi mzuri ni pamoja na kuwa hela ngumu kuipata; kizuri hakipatikani hovyo hovyo

  • Thread starter OKW BOBAN SUNZU
  • Start date

OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
25,162
Likes
23,515
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
25,162 23,515 280
“Ninapowaeleza kuwa uchumi wetu ni mzuri, ni mzuri kweli kuwa na uchumi mzuri hauna maana kuwa na mahela umeyajaza chumbani. Uchumi ni pamoja na kuwa na hela ngumu kuipata, kizuri hakipatikani hovyo hovyo, ni lazima utoe jasho. Nilikuwa nazungumza juzi pale Mwanza kuwa bajeti ya Afya imepanda kutoka bilioni 31 hadi bilioni 269 na Tanzania tukapewa nafasi ya kuuza madawa katika nchi zote za SADC.“amesema Rais Magufuli Tarehe 6 Novemba 2017 mkoani Kagera wakati wa ufunguzi wa mradi wa wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba, mkoani Kagera.

Chanzo: Bongo 5
 
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
6,498
Likes
2,688
Points
280
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
6,498 2,688 280
Sasa kama upatikanaji wa hela ukiwa mgumu vipi kwenye mzunguko kibiashara? Halafu pesa yenyewe ni hii inayoshuka thamani kila uchwao ?..

Kwa kweli CCM mmetupata safari hii..
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,630
Likes
13,994
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,630 13,994 280
Alifafanua alichomaanisha.
Uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi. Pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii na kwa kufanya hivyo uchumi unakua.
 
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
6,498
Likes
2,688
Points
280
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
6,498 2,688 280
Ni sawa kabisa upungufu wa hela husababisha thamani ya hela kupanda...
Sawa ,sasa kama haionekani Mtaani ndio tunakuwa tumefanya nini ?..

Kwani hakuna namna nyingine ya kuipa thamani pesa yetu ?.
 
M CM

M CM

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Messages
2,329
Likes
964
Points
280
M CM

M CM

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2012
2,329 964 280
Uchumi kupanda pia ni pamoja na mfumuko wa bei
 
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
6,498
Likes
2,688
Points
280
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
6,498 2,688 280
Alifafanua alichomaanisha.
Uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi. Pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii na kwa kufanya hivyo uchumi unakua
Mkuu hata kama unafanya kazi kwa bidii na hao wateja hauwaoni, bado unatarajia mafanikio?
 
Nzi

Nzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
13,681
Likes
5,656
Points
280
Nzi

Nzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
13,681 5,656 280
Alifafanua alichomaanisha.
Uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi. Pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii na kwa kufanya hivyo uchumi unakua
Kazi halali huku wengine waki-free ride?
Vipi kuhusu purchasing power kupungua? Vipi kuhusu mfumuko wa bei na vitu kuwa ghali?
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,630
Likes
13,994
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,630 13,994 280
Mkuu hata kama unafanya kazi kwa bidii na hao Wateja hauwaoni ,bado unatarajia mafanikio ?..
Kama unafanya kazi kwa bidii ya kuuza chakula na watu hawanunui kuna mawili.
Mtaa mzima wamefunga au wananunua kwa mwingine.
Kwanini kwa mwingine sio kwako, huo ni uchumi pia bidii inajumuisha ubunifu na flexibility.
 
S

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Messages
3,963
Likes
4,161
Points
280
S

singojr

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2014
3,963 4,161 280
Alifafanua alichomaanisha.
Uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi. Pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii na kwa kufanya hivyo uchumi unakua
Sasa hii ni ngumu kupata na haina thamani
 
kinundu

kinundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
1,804
Likes
1,789
Points
280
kinundu

kinundu

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
1,804 1,789 280
alifafanua alichomaanisha.
uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi.
pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii, na kwa kufanya hivyo uchumi unakua.
Uchumi haushikwi na pesa halali tuu ata haramu pia... Zinafanya mambo...
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,630
Likes
13,994
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,630 13,994 280
Kazi halali huku wengine waki-free ride?
Vipi kuhusu purchasing power kupungua? Vipi kuhusu mfumuko wa bei na vitu kuwa ghali?
hayo ni matatizo mengine...
ila vile ndivyo nilivyomuelewa...
wapi hao wanao free-ride...
kupungua inaweza kuwa kweli kwa sababu pesa nyingi zinapelekwa kwenye econimic stimulators (miradi mikubwa) na upungufu wa pesa haramu mitaaani. system itakapokaa sawa kunakuwa na purchasing power nzuri tu ambayo ni product ya kazi halali na sio halali mchanganyiko na ujanjaujanja.
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
32,491
Likes
68,633
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
32,491 68,633 280
alifafanua alichomaanisha.
uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi.
pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii, na kwa kufanya hivyo uchumi unakua.
NMB nao hawafanyi kazi?

Wanaopunguzwa kazi kila kukicha hawafanyi kazi?

Wanaolima na mazao yao yanakosa soko na kuharibika nao hawafanyi kazi?!

Mmevuruga kanuni za uchumi sasa mnaleta vioja.
 
Nkyambe

Nkyambe

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Messages
279
Likes
197
Points
60
Nkyambe

Nkyambe

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2017
279 197 60
Enzi naanza kuelewa mambo sh 5 ilikuwa inanunua dola moja na ndio maana ya sh 5 kuitwa dala. Sh 20 ilikuwa inanunua paundi moja ya Uingereza na ndio sababu ya sh 20 kuitwa paundi enzi hizo. Serikali ya CCM kwa uzembe na ufisadi wake imetufikisha mahali sh 2500 inanunua dola moja. Sasa bila aibu wanatuambia uchumi mzuri ni ugumu wa hela kupatikana badala ya kusema bayana madhara waliyotusababishia kwa kutufanya tutafute mishilingi mingi ili kuipata dola moja kwa sera zao mbovu na ufisadi
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,630
Likes
13,994
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,630 13,994 280
Uchumi haushikwi na pesa halali tuu ata haramu pia... Zinafanya mambo...
sisi tumechagua halali... na karata zikikaa vizuri watu watakuja kuiga hiyo model ya uchumi halali
 

Forum statistics

Threads 1,250,443
Members 481,342
Posts 29,733,174