technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
- Thread starter
- #81
Mkuu nisawa pia lakini hilo lisitufanye tusieshimu mawazo huru ya watu wengine natamani ningekuwa na kuinbox out of this forum!!Naona hata hujui nini nimeandika mkuu,nimekujibu kuwa hapa jf kuna watu wa aina mbalimbali wengine ni watu wa kutoka sehemu nyeti serikalini na wana jua mambo mengi sana ya serikali kuliko unavyo onyesha kuhoji
Asante