Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

sijawaelewa mnaposema eti Dr slaa alinunuliwa na Membe!!ina maana alimnunua before July 2015?na kama alinunuliwa Membe after July 2015 ikikuwa kwa sababu gani hasa?ebu tupeni Maelezo? wekeni na ushahidi kama receipt au mkataba!!
Mkuu upo sahihi nimekwambia wake na ushaidi wa kununuliwa kwake wameufata
 
Mweshimiwa Rais Dr: Magufuli ningependa kama utapangua safu yako ya uongozi mlete Dr slaa huyu anaweza kuwa kiungo mzuri wa kwendana na kasi yako!

Ni mtu mwadilifu !!

Mtu mtiifu Mwenye pia hofu ya mungu!!

Dr slaa naamini kabisa bado ana uwezi wa kulitumikia taifa kutoka na misimamo yake thabiti wengi mtakuwa mashaidi jinsi alivyokuwa ameijenga chadema kufanya kuwa taasisi imara huko nyuma misimamo yake juu ya mustakabari wa nchi hii anazo sifa zote za kufanikisha ndoto yake ya kulitumikia taifa kwa njia nyingine!!

Rais wetu naamini wewe ni msikivu. Tafathari lifanyie kazi jambo hili
Huyu mtu anakufaa sio lazima awe waziri hapana ilimladi aweze kulisaidia taifa!!

Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama

Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joice Ndalichako

Rais magufuli mlete Dr slaa!!
kweli misukule ya lumumba balaa mlimuita padre maika yote leondio mnamuona anafaa
 
Naona mshaanza kampeni za kispy ili mwisho wa siku mseme
CCm IPO na mtaji mkubwa sana wa rasirimali watu na sidhani sana kama inamuhitaji Slaa by any means
 
Ni kweli arud ili adhihilishe kile tulichomsema kutumiwa na ccm katka uchaguz. Hata siwez shangaa.
 
Naona mshaanza kampeni za kispy ili mwisho wa siku mseme
CCm IPO na mtaji mkubwa sana wa rasirimali watu na sidhani sana kama inamuhitaji Slaa by any means
Kwani mbatia alipochaguliwa ubunge alikuwa wapi vile!!
 
Technically nahisi una umri wa kutosha na sio Uvccm maana kataasisi ketu kale kana watoto wengi hawajui siasa zetu. Kwa kifupi tunahitaji MTU wakumsaidia JPM awe na msimamo kama wake Mwenyekiti na asiyumbishwe na NDOA..yaliyotokea CDM kwa Slaa ni kukosa msimamo kitu ambacho si vyema kuletwa CCM..Slaa abaki huko alipo hafai CCM bado tuna hazina ya kutosha na kutosha kwa ajili ya CCM.
Ni ushauri tu mkuu kwani kikwete alipomteua mbatia kuwa mbunge ccm watu walikuwa wameisha??
 
Kwani nyie mliomusifia siku zote Leo mnamtukana??
kumbuka malaika anaweza kugeuka shetaani ila shetani haajawahi kuwa malaika,kwetu alikuwa maalaika akawa shetani sasa kwenu vipi?sio padre tena
 
Apewe uongozi katka chama kwani hata kadi ya ccm anayo.Ampe hata ukatibu wa chama atakisaidia chama
 
Back
Top Bottom