technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
- Thread starter
- #41
Uko na ushaidi inaonekanaSlaa alirubuniwa na Form six Div zeroo January licha ya kujiita Dr wa PhD , alipigwa sound mpaka akalainika na kuchukua dola milion 2 na kutoroka Ukawa huku mwakyembe akimfundisha jinsi ya kuongea awahadae watanzania, Slaa Kwa sasa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi .