Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Pamoja na mambo mengi ambayo aliyafanya mwalimu ila bado naona umuhimu wa kuwepo screen fulani ya kufundisha na kuwaandaa viongozi wa baadaye na kigezo cha kuruhusiwa kugombea kimojawapo kiwe ni kama uliwahi kusoma kwenye taasisi hiyo ya uongozi maana maamuzi ya kukurupuka yanayoligharimu taifa kila kukicha yangeweza kuepukika!Jinamizi la CHADEMA linatisha sana