Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,556
- 41,314
slaa slaa slaa anawalipa kiasi gani kumtafutia kazi huyo jamaa vijana wengi wapo mnamzungumzia huyo ili iweje..
Mkuu asante ndo maana Jana nilikuja na Uzi hapa nikimwambia mnyika kwamba siku moja watamtukana!!MKUU walishajchanganya wanataka kumchafua Dr Slaa ambaye alikataa kuramba matapishi
Mkuu ujue huko ughaibuni kila kitu ni fedha hakuna kwenda kuchuma kisamvu wala kwenda kwa mangi kukopa maharage lazima slaa arudi maana alienda huko kwa fedha za kupewa na si endelevuHicho kizee ni kinafiki sana pia mkumbuke kilimpora Mke wa mtu na kikaja kuwasariti Ukawa dk za mwisho kisa pesa za Membe , hicho kizee Slaa acha kibaki huko huko kimfulie na kumpikia chakula Josephine siasa za tanzania haziwezi tena.
Wewe kama una shida naye nawewe bila ujue sio wote tunamchukiaCCM nzima haina watu mnamtegemea Dr? muadilifu? unajua maana ya uadilifu?
Wacha kukariri ndugu yangu siyo kila mtu unayepata nafasi ya kujibishana naye hapa jamvini ni mwenzako,Uko na ushaidi inaonekana
Kwa taarifa yako Dr slaa anayo kadi ya CCMCCM nzima haina watu mnamtegemea Dr? muadilifu? unajua maana ya uadilifu?
hahaha. .....unachekesha sana...ur a hhhooopleHofu yangu ni je akiwa souble Argent?
unakosea..zile hazikuwa za membe...ni za jikoniHicho kizee ni kinafiki sana pia mkumbuke kilimpora Mke wa mtu na kikaja kuwasariti Ukawa dk za mwisho kisa pesa za Membe , hicho kizee Slaa acha kibaki huko huko kimfulie na kumpikia chakula Josephine siasa za tanzania haziwezi tena.
Hii ni dharau kubwa kwa ccm! Yani ina maana ndani ya chama hakuna mwingine yoyote anayefaa zaidi ya Slaa? Tuwe watu wa tafakuri
Kwahiyo slaa unataka apewe kazi serikalini au kwenye chama?Lipumba alishapewa kazi selikari akajiondoa
Technically nahisi una umri wa kutosha na sio Uvccm maana kataasisi ketu kale kana watoto wengi hawajui siasa zetu. Kwa kifupi tunahitaji MTU wakumsaidia JPM awe na msimamo kama wake Mwenyekiti na asiyumbishwe na NDOA..yaliyotokea CDM kwa Slaa ni kukosa msimamo kitu ambacho si vyema kuletwa CCM..Slaa abaki huko alipo hafai CCM bado tuna hazina ya kutosha na kutosha kwa ajili ya CCM.Mweshimiwa Rais Dr: Magufuli ningependa kama utapangua safu yako ya uongozi mlete Dr slaa huyu anaweza kuwa kiungo mzuri wa kwendana na kasi yako!
Ni mtu mwadilifu !!
Mtu mtiifu Mwenye pia hofu ya mungu!!
Dr slaa naamini kabisa bado ana uwezi wa kulitumikia taifa kutoka na misimamo yake thabiti wengi mtakuwa mashaidi jinsi alivyokuwa ameijenga chadema kufanya kuwa taasisi imara huko nyuma misimamo yake juu ya mustakabari wa nchi hii anazo sifa zote za kufanikisha ndoto yake ya kulitumikia taifa kwa njia nyingine!!
Rais wetu naamini wewe ni msikivu. Tafathari lifanyie kazi jambo hili
Huyu mtu anakufaa sio lazima awe waziri hapana ilimladi aweze kulisaidia taifa!!
Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama
Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joice Ndalichako
Rais magufuli mlete Dr slaa!!
Sasa kwanini usikae kimya kama mada uipendi ukinijibu nitakujibu tu!!Wacha kukariri ndugu yangu siyo kila mtu unayepata nafasi ya kujibishana naye hapa jamvini ni mwenzako,
Naona hata hujui nini nimeandika mkuu,nimekujibu kuwa hapa jf kuna watu wa aina mbalimbali wengine ni watu wa kutoka sehemu nyeti serikalini na wana jua mambo mengi sana ya serikali kuliko unavyo onyesha kuhojiSasa kwanini usikae kimya kama mada uipendi ukinijibu nitakujibu tu!!
Kama utaki kaa kimya hili ni jukwaa huru
Mkuu upo sahiiSasa mkuu kwanin tusiseme mamvi kuja na kupewa mikoba ya kugombea urais ni dharau kubwa kwa cdm na ukawa wao kwani hakukuwa na watu waliostahili kwa nafas ile??? tafakari kidogo bas kabla yakuandika.
Mbona wewe ni double face na bado unaendelea kuwa ccm? Ulim back lowasaa na baadae ukaanza kujining'iniza kwa jpmHofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Miaka 8 ninyi mlimsafishakati ya Dr slaa na chama chako nani msaliti kwa nchi yake? kwa nini mlituletea mliyemchafu kwa zaidi ya miaka nane???