Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Mweshimiwa Rais Dr: Magufuli ningependa kama utapangua safu yako ya uongozi mlete Dr slaa huyu anaweza kuwa kiungo mzuri wa kwendana na kasi yako!

Ni mtu mwadilifu !!

Mtu mtiifu Mwenye pia hofu ya mungu!!

Dr slaa naamini kabisa bado ana uwezi wa kulitumikia taifa kutoka na misimamo yake thabiti wengi mtakuwa mashaidi jinsi alivyokuwa ameijenga chadema kufanya kuwa taasisi imara huko nyuma misimamo yake juu ya mustakabari wa nchi hii anazo sifa zote za kufanikisha ndoto yake ya kulitumikia taifa kwa njia nyingine!!

Rais wetu naamini wewe ni msikivu. Tafathari lifanyie kazi jambo hili
Huyu mtu anakufaa sio lazima awe waziri hapana ilimladi aweze kulisaidia taifa!!

Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama

Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joyce Ndalichako

Rais magufuli mlete Dr slaa!!
 
Kwa kuwa Joyce ndio alikuwa mshahuri wake Dr. Mihogo hadi akahama nchi

Nashauri JPM ammpe uyo Mama kazi coz atamsaidia ushauri katika uongozi wake
 
naunga mkono hoja!!!ampe hata taasisi moja tu inatosha!!tatizo ni bavicha na chama chao watasema eti anaminya demokrasia au eti analipa fashila!!bavicha huwa hawaoni jema lifanywalo na CCM!!
Asante mkuu yaani huyu mtu ni muhimu sana tukiweka pembeni unafiki
 
Kwani alizopewa kuwasaliti wenzake imekwisha? Kakutumia kumlilia Debe? Hatujui kama anayo mawasiliano? Wewe jali watoto wako kama amejipanga folleni kwenda Chopin. Us ngoswe mwacjie mwenyewe
 
Mkuu kwani wewe uwezi toa ushauri popote??
 
Hii ni dharau kubwa kwa ccm! Yani ina maana ndani ya chama hakuna mwingine yoyote anayefaa zaidi ya Slaa? Tuwe watu wa tafakuri
 
Mweshimiwa Rais Dr: Magufuli ningependa kama utapangua safu yako ya uongozi mlete Dr slaa huyu anaweza kuwa kiungo mzuri wa kwendana na kasi yako!

Ni mtu mwadilifu !!

Mtu mtiifu Mwenye pia hofu ya mungu!!

Dr slaa naamini kabisa bado ana uwezi wa kulitumikia taifa kutoka na misimamo yake thabiti wengi mtakuwa mashaidi jinsi alivyokuwa ameijenga chadema kufanya kuwa taasisi imara huko nyuma misimamo yake juu ya mustakabari wa nchi hii anazo sifa zote za kufanikisha ndoto yake ya kulitumikia taifa kwa njia nyingine!!

Rais wetu naamini wewe ni msikivu. Tafathari lifanyie kazi jambo hili
Huyu mtu anakufaa sio lazima awe waziri hapana ilimladi aweze kulisaidia taifa!!

Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama

Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joice Ndalichako

Rais magufuli mlete Dr slaa!!
hako kazee Dr Slaa si kaadilifu hata kidogo kana njaa Hatari pia kanapenda kuchepuka kisiasa ndiyo maana kalinunuliwa kirahisi na Membe kakatorokea Canada , Magufuli akijichanganya akakaleta ccm atajutia uamuzi wake .
 
Back
Top Bottom