Wazalendo wako wengi, kwa hiyo bado uko pale pale, wewe na wazalendo gani? Speak for yourself, sema mimi namtaka fulani na sio kusema sisi otherwise uwataje kabisa hao wenzakoWazalendo wa kweli wa nchi hii
Slaa Kwa sasa anakula Bata pesa haramu za NIDA na za marehemu Gadafi alizopokea toka Kwa Membe anakufaa Wewe peke yako .Hakuna mkuu huyu mtu anatufaa
Souble ni kitu gani mkuu?Hofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Kwani nikuulize professor Muhongo,Tibaijuka,Mkurugenza wa TPDC walikuwa wapi kabla ya kupata vyeo ndani ya CCM??Hii ni dharau kubwa kwa ccm! Yani ina maana ndani ya chama hakuna mwingine yoyote anayefaa zaidi ya Slaa? Tuwe watu wa tafakuri
Duuuuu hiki kizungu nacho sasa ni balaa SOUBLE AGENT!Hofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Kuna jema gani limefanyika chini ya utawala wa ccm?naunga mkono hoja!!!ampe hata taasisi moja tu inatosha!!tatizo ni bavicha na chama chao watasema eti anaminya demokrasia au eti analipa fashila!!bavicha huwa hawaoni jema lifanywalo na CCM!!
Mbona unapingana na mwana ccm mwenzako?Slaa aende zake alishapewa chake atulie wala hatumwitaji
Slaa alirubuniwa na Form six Div zeroo January licha ya kujiita Dr wa PhD , alipigwa sound mpaka akalainika na kuchukua dola milion 2 na kutoroka Ukawa huku mwakyembe akimfundisha jinsi ya kuongea awahadae watanzania, Slaa Kwa sasa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi .Kwa ujinga wako unafikiri slaa aliondoka CHADEMA kwa kuipenda CCM?
Hii ni dharau kubwa kwa ccm! Yani ina maana ndani ya chama hakuna mwingine yoyote anayefaa zaidi ya Slaa? Tuwe watu wa tafakuri
Umesahau na lipumbaAsante mkuu yaani huyu mtu ni muhimu sana tukiweka pembeni unafiki
Umechemsha..Kwa kuwa Joyce ndio alikuwa mshahuri wake Dr. Mihogo hadi akahama nchi
Nashauri JPM ammpe uyo Mama kazi coz atamsaidia ushauri katika uongozi wake
Watu wa tafkuri wapo ila sema huu utaratibu wa kufanya teuzi za ajira kwa ukada ndio shida kila mtu anaropoka ili mradi aonekane ni mpigania chama ili apate ajira kupitia teuziHii ni dharau kubwa kwa ccm! Yani ina maana ndani ya chama hakuna mwingine yoyote anayefaa zaidi ya Slaa? Tuwe watu wa tafakuri
Mkuu upo sirious au ni ka chuki binafisihako kazee Dr Slaa si kaadilifu hata kidogo kana njaa Hatari pia kanapenda kuchepuka kisiasa ndiyo maana kalinunuliwa kirahisi na Membe kakatorokea Canada , Magufuli akijichanganya akakaleta ccm atajutia uamuzi wake .
Hata Mimi Nina uhakika slaa hakuondoka chadema kwa kuipenda ccm ila nia yake ilikuwa kuonyesha uwajibikaji kwa taifa lakeKwa ujinga wako unafikiri slaa aliondoka CHADEMA kwa kuipenda CCM?