Mango833
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 4,479
- 20,641
Ndio huyo hapana kwanza muislamNo lipumba hapana mkuu
Ndio huyo hapana kwanza muislamNo lipumba hapana mkuu
Mi mwenyewe muislamNdio huyo hapana kwanza muislam
Wewe ccm wamekufanyia lipi jema?naunga mkono hoja!!!ampe hata taasisi moja tu inatosha!!tatizo ni bavicha na chama chao watasema eti anaminya demokrasia au eti analipa fashila!!bavicha huwa hawaoni jema lifanywalo na CCM!!
Dr. Slaa alishapewa taasisi siku nyingi - yeye ni raisi wa CCRBTNaunga mkono hoja!!!ampe hata taasisi moja tu inatosha!!tatizo ni bavicha na chama chao watasema eti anaminya demokrasia au eti analipa fashila!!bavicha huwa hawaoni jema lifanywalo na CCM!!
Nyama ya Chair Fire ni haramu hivyo pia supu yake ni haramu pia kwani itakuwa ni ya Chair Fire pia na siyo mnyama mwingine.Mweshimiwa Rais Dr: Magufuli ningependa kama utapangua safu yako ya uongozi mlete Dr slaa huyu anaweza kuwa kiungo mzuri wa kwendana na kasi yako!
Ni mtu mwadilifu !!
Mtu mtiifu Mwenye pia hofu ya mungu!!
Dr slaa naamini kabisa bado ana uwezi wa kulitumikia taifa kutoka na misimamo yake thabiti wengi mtakuwa mashaidi jinsi alivyokuwa ameijenga chadema kufanya kuwa taasisi imara huko nyuma misimamo yake juu ya mustakabari wa nchi hii anazo sifa zote za kufanikisha ndoto yake ya kulitumikia taifa kwa njia nyingine!!
Rais wetu naamini wewe ni msikivu. Tafathari lifanyie kazi jambo hili
Huyu mtu anakufaa sio lazima awe waziri hapana ilimladi aweze kulisaidia taifa!!
Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama
Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joyce Ndalichako
Rais magufuli mlete Dr slaa!!
Mimi namwitaji sana Dr slaa, akienda ccm namfuata huko huko. Namkubali na namwamini sana Dr slaaSlaa aende zake alishapewa chake atulie wala hatumwitaji
Mwambie akuoe kabisa ili kila siku uwe unamwonaMimi namwitaji sana Dr slaa, akienda ccm namfuata huko huko. Namkubali na namwamini sana Dr slaa
Mkuu asante kwa kusema ukweliMimi namwitaji sana Dr slaa, akienda ccm namfuata huko huko. Namkubali na namwamini sana Dr slaa
Ndio nini ,??Nyama ya Chair Fire ni haramu hivyo pia supu yake ni haramu pia kwani itakuwa ni ya Chair Fire pia na siyo mnyama mwingine.
Haaah tunamuombea wizara sisi mkuuDr. Slaa alishapewa taasisi siku nyingi - yeye ni raisi wa CCRBT
Fumbo mfumbie mjinga mwerevu ataling'amua...Ndio nini ,??
Ndo mtu ambaye angeisumbua sana CCM lakini si hawa magamba!!Slaa anajua sana siassa za. tanzamia
Funguka mkuu mi sipo Zanzibar!!Fumbo mfumbie mjinga mwerevu ataling'amua...
Mchkuen tu huku kwetu hakutak tenaHofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Lazima ataludishwa tu soonMchkuen tu huku kwetu hakutak tena
hako kazee Dr Slaa si kaadilifu hata kidogo kana njaa Hatari pia kanapenda kuchepuka kisiasa ndiyo maana kalinunuliwa kirahisi na Membe kakatorokea Canada , Magufuli akijichanganya akakaleta ccm atajutia uamuzi wake .[/QUOT
😀😀😀😀😀😀😀😀Duuuuuuu!!!!!! yaani mpaka basi!!!!!!!!
Haaaaah wewe tunachotaka sisi kazi sio mambo ya siasa kama atamfunika kwa kufanikisha Marengo nipoaDr.Slaa atamfunika Dr.Magufuli.Hawezi kufanya hilo kosa na ndio maana amechagua PM dhaifu!