Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state

Kuna umuhimu wa kubadili tafsiri ya neno demokrasia nchini mwetu
Mkuu hakuna haja ila ss ndyo tunashida democrasia ya kwet hata siku moja haiwez kuwa sawa na uk, usa, ndyo maana hata putting hana democrasia ambayo ipo usa au uk,

Hvyo democrasia yetu, inajengwa na maadili, upendo kuheshimiana, na ndan yake kuna staha, na nidhamu...

P yupo sawa mkuu..
 
Umenena vyema mkuu, kama demokrasia yetu inajengwa kwa "Maadili, upendo ,kuheshimiana, nk. Swali la msingi ni kwamba Je serikali inatambua hilo je inafanya lolote kudumisha au ?
 
Mkuu Pascal Mayala, ni kweli kuwa Tanzania is a sovereign state. Lakini usisahau kuwa nchi yetu ni sovereign in an an international community (msisitizo kwenye international community). Kuna wakati (hasa siku za karibuni) napata taabu kidogo kukuelewa.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu mwingine yoyote. Huu ni wakati wa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili kusimama as one kulitetea taifa letu against mabeberu, wakoloni mambo leo na vibaraka wao, dhidi ya maslahi mapana ya taifa letu.

Najua rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli atalihutubia taifa next week kujibu vitisho vya EU na US, sisi wazalendo wa kweli wa nchi hii, tunamsisitiza,
Never bow down to anyone, nether US, nor EU or anybody else, he should tell them that Tanzania is a Sovereign state, hatupangii nchi nyingine cha kufanya, hivyo na sisi hatupangii cha kufanya.

Kama hoja ni kufifisha democracy na ukiukwaji wa haki za binaadam, nchi ngapi zina bad democracy zaidi yetu na mmenyamaza, nchi ngapi zina worst human rights records kuliko sisi na mmenyamaza?. Tanzania tunafuata African democracy na Tanzania democracy, kama tumeamua mikutano ya siasa ni wakata wa kampeni tuu za uchaguzi mkuu, na baada ya uchaguzi ni wote kufanya kazi ya kuijenga nchi, then hii ndio demokrasia yetu na hizi ndio human rights zetu, wasituingilie kwa kuimpose demokrasia modal yao na human rights standards zao kwetu!.

Watetezi we ubeberu watasema kwa vile sisi ni nchi masikini, na bajeti yetu inategemea misaada na mikopo ya nchi tajiri, hivyo ni lazima tuwapigie magoti kufuata wanachotaka, this time tuwagomee kuulinda uhuru wetu na sovereignty yetu, kama vipi bora waende tuu, ni heri tubaki masikini jeuri huru kuliko utumwa wa mabeberu kwa uhuru wa bendera, huku tukipangiwa kila kitu na mabeberu hawa.

Kama hoja ni umasikini, Tanzania ya leo sio masikini kivile hadi tuuze uhuru wetu kwa kuwanyenyekea mabeberu hawa. Kama tumeweza kununua ndege kwa cash tena fedha zetu wenyewe za ndani, sasa tunajenga reli ya SGR na mradi wa Stigle Gorje kwa fedha zetu wenyewe za ndani, then tukiamua kuijenga Tanzania bila misaada ya wazungu, tunaweza, tunaweza kupanga bajeti ya kile tuu tunachokusanya, ili tusiwategemee wafadhili katika bajeti zetu ili tusidhalilishwe kama sasa na hawa US na EU hadi kutuingilia uhuru wetu, kumpangia rais wetu.

P
Rejea za kuhamasisha uzalendo
Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tz tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, Nchi Yako Inatukanwa!, Rais Wako Anatukanwa!, Tumenyamaza!. Huu Ni Uzalendo Gani?!. - JamiiForums

Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe! - JamiiForums

‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist" - JamiiForums

Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya? - JamiiForums

Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za nje kwa kuitwa "The 'Bulldozer' Tanzanian President"? - JamiiForums

Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta! - JamiiForums
 
Mkuu mambo haya yanahitaji hekima zaidi kuliko huu ushabiki wako wa kutaka kujulikana na mheshiwa rais au kwa manufaa unayoyajua wewe mwenyewe. Kama mhe. rais anapitia haya mawazo ya watu wa mtandaoni basi Hekima ya Mungu imuongoze sana sana..naamini kuna watu hamumpendi mh. rais na kwa hiyo mnataka mumuingize mkenge ili mumcheke pembeni. Mheshimiwa rais, nakuombea kwa Mungu ktk hili uipitishe Tanzania salama. Kuna watu hawaipendi Tanzania kwa namna ya ushauri wanaotoa na nashawika kusema mtoa post anaweza kujumuishwa. Ktk zama kama hizi za mfumo bepari unaotawala dunia huwezi kuivimbia Western world hata mara moja. China wenyewe wamewekewa vizuizi na kampuni yao ya Huawei sisi ni akina nani kiuchumi mpaka tuivimbie EU/ USA kwa staili ya mtoa mada anavyobainisha.
Pasko, jitafakari ushauri unaompa mheshimiwa rais kwa kisingizio cha wewe kuwa mzalendo saana kuliko wengine.
Paskali naomba kujua Hivi mapinduzi ya Zanzibar yalimpindua bani na nanialipewa uhuru maana mapinduzi yakujlkuja baada ya uhuru nani alikuwa kiongozi wa Zanzibar wakati wa kupewa uhuru
 
Japo Ujerumani ni miongoni mwa nchi mabeberu, kitendo cha rais wetu Magufuli kupigiwa simu na Chancellor wa Ujerumani, ni very big news hadi kuandikiwa press release. Tukabali, tukatae kwenye industrialization, Ujerumani are among the best of the best, hivyo rais kakaribishwa Ujerumani kwenda kuona technology ya viwanda vya ukweli, pia atakwenda China, na UN.
Hii ni habari njema, if you are poor, sometimes lazima ujishushe na kujinyenyekeza kwa mabeberu hawa.
P.
 
Kwa maneno mengine umetuambia kuwa beggars cannot be choosers.
 
Japo Ujerumani ni miongoni mwa nchi mabeberu, kitendo cha rais wetu Magufuli kupigiwa simu na Chancellor wa Ujerumani, ni very big news hadi kuandikiwa press release. Tukabali, tukatae kwenye industrialization, Ujerumani are among the best of the best, hivyo rais kakaribishwa Ujerumani kwenda kuona technology ya viwanda vya ukweli, pia atakwenda China, na UN.
Hii ni habari njema, if you are poor, sometimes lazima ujishushe na kujinyenyekeza kwa mabeberu hawa.
P.
Hapo mwanzoni ulisemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu! Mbona Kama Vile Unajipinga Tena Wewe Mwenyewe Na Hoja Kuu Ya Bandiko Uliloliweka? Au Pengine Kuna Kautafiti Umekafanya Hapa Katikati Ukaona Kuna Umuhimu Wa Kujinyenyekeza!
Baada ya kuona press release, kama kupigiwa tuu simu tumefurahi hadi tumetoa press release, huu ni uthibitisho kuwa hawa mabeberu ni muhimu sana kwetu, tumealikwa Ujerumani na China, tumuunge mkono rais wetu, lazima atoke akaone, akirudi walete technology tuwe kama wao
P
 
HATA MUGABE NA WAPAMBE WAKE WALIKUWA NA HOJA ZA KIPUMBAVU KAMA HIZI, LEO HII WANAANGALIA VICHWA CHINI KWA AIBU.
 
Back
Top Bottom