MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,826
- 5,451
Kama huko kote hivyo vilikuwepo na hawakupiga kelele na kama kuna nchi Africa zinaongoza kwa uvunjifu wa democracy na hawapigi kelele. Hoja ni KUNA MAHALI MASLAI YAO YAMEBANWA. Hakuna cha tamko la makonda hakuna cha nani kupigwa risasi wala nini, ISHU NI JPMBKUWAFYEKELEA MBALI kwenye MASLAI YAOHatukatai sgr na stigle,kimsingi siasa imemshinda wakati wa kikwete,mkapa hata nyelele ushoga ulikwepo,wanafunzi wazazi hawakuruhusiwa kuendelea na masomo,kwa nini yeye??amembeba bashite mgongoni seeeeeeh!!!siasa imemshinda,na we we acha kutete uongo huo sio uzalendo Hivi unafurahia kutekwa akina mo,issue ya tundulisi,mbowe yupo ndani na sasa mwalimu,kwa nini ccm hawafungwi ila chadema?kukatwa mafao ya watumishi,mishahara kiduchu,ajira hakuna,wakulima hali mbaya unafurahia tuu na kutuletea mada ya uongo??sema ukweli use huru