Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,446
- 1,814
Mkuu hakuna haja ila ss ndyo tunashida democrasia ya kwet hata siku moja haiwez kuwa sawa na uk, usa, ndyo maana hata putting hana democrasia ambayo ipo usa au uk,Kuna umuhimu wa kubadili tafsiri ya neno demokrasia nchini mwetu
Hvyo democrasia yetu, inajengwa na maadili, upendo kuheshimiana, na ndan yake kuna staha, na nidhamu...
P yupo sawa mkuu..