Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state

JPM the towering pillar of African renaissance

That is why October the 28th, is not only an election day for Tanzania, more important, it’s the day to decide the position of Africa in the world and the choice between economic liberation and captivity.

Tanzanians, in the same way you used to be the reliable rear base for the liberation struggles, you are once again holding the key for African emancipation from economic captivity, vote wisely, vote Magufuli for the bright future of Africa.
Mkuu Alex Fredrick, thanks for this, nikipata muda nitaitafsiri na kuwaambia Watanzania umuhimu wa kura yao ya ndio kwa Magufuli una maana gani kwa bara la Africa na dunia kwa jumla.

Magufuli ni rais wa Africa ni rais wa Dunia in a special way!

Tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni kuwahi asubuhi na mapema ni Magufuli tuu, Mitano Tena.
P
 
Hata Mugabe alisema hivyohivyo na tukashangilia kweli huyu ndio kiboko yao matokeo tukaona wakaanza kufungia vitumbua pesa zao.
 
Paskal mshauri afanye hivi: kuwaonyesha kuwa sisi ni sovereign state, hatupangiwi, awaondoe mabalozi wote toka Western Europe. Nitamuona mwanamume!
Thubutu, Balozi wa USA anawatembelea wagombea wote anaongea nao mpaka kamuuliza mzee wa Pemba je ni utafanya Zanzibar ikitokea umeshinda hii kwa mujibu ya tweet ya Maalim mwenyewe jana. Sasa jiulize nguvu hizi anatoa wapi? hawa jamaa wanaamini wao ni watawala wa dunia wana shape siasa za nchi hata mabara wanavyotaka wao kwa maslahi yao na usalama wao. kitu kingine wana majasusi kila nchi wana habari zote sasa ukihatarisha maslahi yao tu ya kiuchumi au usalama basi ni hatari. wako waliojaribu na matokeo tunayajuwa... tujifunze kula na kipofu
 
Well said.

Kinachofanywa na wazungu ni kutaka kufifisha speed ya Rais Magufuli kwani utegemezi kwao unapungua na wanaona tunakoelekea ni pazuri.

Tumuunge mkono Rais wetu bila kujali itikadi zetu.
Ziko nchi nyingi tajiri duniani na wala hawategemei hata dola moja toka USA lakini wakisema kitu kila mtu anakaa na kusikiliza na ukiingia katika 18 zao au za washirika wao wanakuwa wamoja na mziki wao mkubwa huo ndio ukweli. Sisi size zetu hawa kina Kenya, Burundi sijui Malawi uzito mmoja wewe uzito mwepesi unataka kuingia kupigana na heavywheight...si kutafuta balaa tu.
 
Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
Mkuu Poppy Wewi, kwanza naunga mkono hoja, kuwa japo Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, na hatupaswi kuingiliwa mambo yetu ya ndani na mtu yoyote au nchi yoyote, lakini kwa vile Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya kimataifa na tumeridhia kwa kusaini mikataba, Instruments na protocols za kimataifa kuhusu uendeshaji wa chaguzi kidemokrasia ziwe huru na haki, ni Jumuiya za kimataifa ndizo zenye haki, sio kuingilia bali kuja ku observers na ku comment na sio Marekani.

Kwenye hili la sisi kuingiliwa mambo yetu ya ndani, tuliisha mshauri rais wetu Magufuli siku nyingi

Maadam rais Magufuli nwenyewe ameisha ahidi uchaguzi Mkuu huru na wa haki, then lets hope for the best kuwa uchaguzi Mkuu wa October 28, utakuwa huru na wa haki kwasababu rais Magufuli ni mkweli daima, na akiahidi, anatekeleza.
P
 
Hata baada ya matokeo ya uchaguzi huu, mabeberu wanaweza kupiga kelele kuwa uchaguzi huu haukuwa huru na wa haki, tusiwasikilize!.
Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, kilichofanyika ndio demokrasia yetu, Tanzanian Democracy which is part of African Democracy, nchi ya vyama vingi inaweza kufanya uchaguzi wa vyama vingi halafu chama kimoja kikashinda kwa asilimia 99.9% na bado uchaguzi huo ukawa huru na wa haki.
P
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu mwingine yoyote. Huu ni wakati wa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili kusimama as one kulitetea taifa letu against mabeberu, wakoloni mambo leo na vibaraka wao, dhidi ya maslahi mapana ya taifa letu.

Natoa wito kwa rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli never bow down to anyone, nether US, nor EU or anybody else, he should tell them that Tanzania is a Sovereign state, hatupangii nchi nyingine yoyote kitu cha kufanya, vivyo hivyo na sisi hatupaswi kupangiwa na yeyote kitu chochote cha kufanya nchini mwetu, kupangiwa chochote cha kufanya na yeyote wa nje ya nchi yetu ni kuingiliwa mambo yetu ya ndani.

Kama hoja ni kufifisha democracy na ukiukwaji wa haki za binaadamu, nchi ngapi zina bad democracy records kuliko sisi na wamekaa kimya, why we?. Nchi ngapi zina worst human rights records kuliko sisi na mmenyamaza?. Tanzania tunafuata African democracy na Tanzania democracy, kama tumeamua mikutano ya siasa ni wakati wa kampeni tuu za uchaguzi mkuu, na baada ya uchaguzi ni wakati wa kufanya kazi, watu wote tufanye kazi ya kuijenga nchi, then hii ndio demokrasia yetu na hizi ndio human rights zetu, wasituingilie kwa kuimpose demokrasia modal yao na human rights standards zao kwetu!.

Watetezi we ubeberu watasema kwa vile sisi ni nchi masikini, na bajeti yetu inategemea misaada na mikopo ya nchi tajiri, hivyo ni lazima tuwapigie magoti kufuata wanachotaka, this time tuwagomee kuulinda uhuru wetu na sovereignty yetu, kama vipi bora waende tuu, ni heri tubaki masikini jeuri huru kuliko tajiri utumwa wa mabeberu kwa uhuru wa bendera, huku tukipangiwa kila kitu na mabeberu hawa!.

Kama hoja ni umasikini, Tanzania ya leo sio masikini kivile hadi tuuze uhuru wetu kwa kuwanyenyekea mabeberu hawa. Kama tumeweza kununua ndege kwa cash tena fedha zetu wenyewe za ndani, sasa tunajenga reli ya SGR na mradi mkubwa wa umeme wa Stigler Gorje kwa fedha zetu wenyewe za ndani, then tukiamua kuijenga Tanzania bila misaada ya wazungu na mabebe hawa, tunaweza, tayari tumeisha anza kukusanya trilioni kwa mwezi kwenye makusanyo yetu ya ndani, hivyo tukiamua, tunaweza kupanga bajeti ya kile tuu tunachokusanya, ili tusiwategemee wafadhili na mabeberu katika bajeti zetu ili tusidhalilishwe kama sasa na hawa US na EU hadi kutuingilia uhuru wetu, kumpangia rais wetu nini cha kufanya!.

P
Rejea za kuhamasisha uzalendo
Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tz tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, Nchi Yako Inatukanwa!, Rais Wako Anatukanwa!, Tumenyamaza!. Huu Ni Uzalendo Gani?!. - JamiiForums

Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe! - JamiiForums

‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist" - JamiiForums

Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya? - JamiiForums

Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za nje kwa kuitwa "The 'Bulldozer' Tanzanian President"? - JamiiForums

Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta! - JamiiForums

Muoneni huyu ndugu mumpe kazi jamani .....
 
Hata baada ya matokeo ya uchaguzi huu, mabeberu wanaweza kupiga kelele kuwa uchaguzi huu haukuwa huru na wa haki, tusiwasikilize!.
Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, kilichofanyika ndio demokrasia yetu, Tanzanian Democracy which is part of African Democracy, nchi ya vyama vingi inaweza kufanya uchaguzi wa vyama vingi halafu chama kimoja kikashinda kwa asilimia 99.9% na bado uchaguzi huo ukawa huru na wa haki.
P
naomba kuuliza hivi na chaguzi zingine hapa Africa zina bring so much attention kama huu?

kwa nn USA anakereketwaga sana na tz?
 
Kumbe wajinga bado wengi sana, hatuna ubavu
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu mwingine yoyote. Huu ni wakati wa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili kusimama as one kulitetea taifa letu against mabeberu, wakoloni mambo leo na vibaraka wao, dhidi ya maslahi mapana ya taifa letu.

Natoa wito kwa rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli never bow down to anyone, nether US, nor EU or anybody else, he should tell them that Tanzania is a Sovereign state, hatupangii nchi nyingine yoyote kitu cha kufanya, vivyo hivyo na sisi hatupaswi kupangiwa na yeyote kitu chochote cha kufanya nchini mwetu, kupangiwa chochote cha kufanya na yeyote wa nje ya nchi yetu ni kuingiliwa mambo yetu ya ndani.

Kama hoja ni kufifisha democracy na ukiukwaji wa haki za binaadamu, nchi ngapi zina bad democracy records kuliko sisi na wamekaa kimya, why we?. Nchi ngapi zina worst human rights records kuliko sisi na mmenyamaza?. Tanzania tunafuata African democracy na Tanzania democracy, kama tumeamua mikutano ya siasa ni wakati wa kampeni tuu za uchaguzi mkuu, na baada ya uchaguzi ni wakati wa kufanya kazi, watu wote tufanye kazi ya kuijenga nchi, then hii ndio demokrasia yetu na hizi ndio human rights zetu, wasituingilie kwa kuimpose demokrasia modal yao na human rights standards zao kwetu!.

Watetezi we ubeberu watasema kwa vile sisi ni nchi masikini, na bajeti yetu inategemea misaada na mikopo ya nchi tajiri, hivyo ni lazima tuwapigie magoti kufuata wanachotaka, this time tuwagomee kuulinda uhuru wetu na sovereignty yetu, kama vipi bora waende tuu, ni heri tubaki masikini jeuri huru kuliko tajiri utumwa wa mabeberu kwa uhuru wa bendera, huku tukipangiwa kila kitu na mabeberu hawa!.

Kama hoja ni umasikini, Tanzania ya leo sio masikini kivile hadi tuuze uhuru wetu kwa kuwanyenyekea mabeberu hawa. Kama tumeweza kununua ndege kwa cash tena fedha zetu wenyewe za ndani, sasa tunajenga reli ya SGR na mradi mkubwa wa umeme wa Stigler Gorje kwa fedha zetu wenyewe za ndani, then tukiamua kuijenga Tanzania bila misaada ya wazungu na mabebe hawa, tunaweza, tayari tumeisha anza kukusanya trilioni kwa mwezi kwenye makusanyo yetu ya ndani, hivyo tukiamua, tunaweza kupanga bajeti ya kile tuu tunachokusanya, ili tusiwategemee wafadhili na mabeberu katika bajeti zetu ili tusidhalilishwe kama sasa na hawa US na EU hadi kutuingilia uhuru wetu, kumpangia rais wetu nini cha kufanya!.

P
Rejea za kuhamasisha uzalendo
Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tz tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, Nchi Yako Inatukanwa!, Rais Wako Anatukanwa!, Tumenyamaza!. Huu Ni Uzalendo Gani?!. - JamiiForums

Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe! - JamiiForums

‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist" - JamiiForums

Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya? - JamiiForums

Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za nje kwa kuitwa "The 'Bulldozer' Tanzanian President"? - JamiiForums

Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta! - JamiiForums
 
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini tanzania toka magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhiri wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Mkuu Return Of Undertaker , huu ni muendelezo wa ubeberu tuu, tuliisha shauri what to do

P
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali

Mbona husikiki ndugu pascal, au ni mmojawapo wa wale waliopata mshituko mkubwa kwa kifo cha mpendwa wetu
 
Back
Top Bottom