Rais Magufuli: Nimeidhinisha shilingi bilioni 147 mikopo ya wanafunzi, nitashangaa wanachuo wakihangaika

T

Trump2

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Messages
1,369
Likes
2,259
Points
280
T

Trump2

JF-Expert Member
Joined May 28, 2017
1,369 2,259 280
Rais ameyasema hayo wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu ikulu leo 27/10/2017 na kuwataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha Fedha hizo zinafika vyuoni kwa wakati.
Hongera sana JPM
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
15,219
Likes
20,193
Points
280
Age
21
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
15,219 20,193 280
Rais ameyasema hayo wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu ikulu leo 27/10/2017 na kuwataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha Fesha hizo zinafika vyuoni kwa wakati.
Hongera sana JPM
wakuu wa mikoa wanahusikaje na kugawa fedha mikopo elimu ya juu
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
15,219
Likes
20,193
Points
280
Age
21
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
15,219 20,193 280
Hana jipya. Mbona umaskini unazidi tu?? Pamoja na tambo zoote hizo mbona watu hali zao zinazidi kuwa ngumu?
hivi huyu ni nani
 
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
6,912
Likes
7,494
Points
280
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
6,912 7,494 280
Rais ameyasema hayo wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu ikulu leo 27/10/2017 na kuwataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha Fesha hizo zinafika vyuoni kwa wakati.
Hongera sana JPM
vizuri kama ni kweli maana siku hizi.....
 
digba sowey

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
996
Likes
1,272
Points
180
Age
48
digba sowey

digba sowey

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
996 1,272 180
Hana jipya. Mbona umaskini unazidi tu?? Pamoja na tambo zoote hizo mbona watu hali zao zinazidi kuwa ngumu?
Atakuwaje na jipya ikiwa hufanyi kazi kutwa jf kupinga kila kitu, unadhani rais atapita kila kaya kugawa mafutushi ya pesa bila mtu kufanya kazi?
 
vedamkira

vedamkira

New Member
Joined
May 23, 2017
Messages
2
Likes
13
Points
5
Age
23
vedamkira

vedamkira

New Member
Joined May 23, 2017
2 13 5
Rais ameyasema hayo wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu ikulu leo 27/10/2017 na kuwataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha Fesha hizo zinafika vyuoni kwa wakati.
Hongera sana JPM
fedha za mikopo ndio zimetengwa lakini kwa asilimia kubwa haziwafikii wale wanafunzi wanao lengwa kwa mfano mm ni mtoto wa mkulima na niliomba mkopo lakini cha kushangaza mkopo sijapewa lakini wapo watoto wa wazazi wenye kipato kizuri wamepewa mikopo ss nashindwa kuelewa hii mikopo wamegawa kwa kufuata vigezo gani wapo wengine walidanganya katika taarifa zao za kuomba mikopo lakini hao ndo wa kwanza kuipata hiyo mikopo kiujumla haki haijatendeka kwa asilimia kubwa ya wanafunzi
 
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
17,680
Likes
62,209
Points
280
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2015
17,680 62,209 280
Wakuu wa Mikoa wanahusikaje na mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu? Au katiba na sheria ya HESLB imebadilika? Hivi Mkuu wa Mkoa wa Manyara nae atasimamiaje fedha za bodi wakati mkoani wake hakuna Chuo Kikuu? Ngoja niangalie zangu marudio ya Futuhi.

Thanks God Its Friday!!
 
J

JINOME

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Messages
892
Likes
1,304
Points
180
J

JINOME

JF-Expert Member
Joined May 29, 2017
892 1,304 180
fedha za mikopo ndio zimetengwa lakini kwa asilimia kubwa haziwafikii wale wanafunzi wanao lengwa kwa mfano mm ni mtoto wa mkulima na niliomba mkopo lakini cha kushangaza mkopo sijapewa lakini wapo watoto wa wazazi wenye kipato kizuri wamepewa mikopo ss nashindwa kuelewa hii mikopo wamegawa kwa kufuata vigezo gani wapo wengine walidanganya katika taarifa zao za kuomba mikopo lakini hao ndo wa kwanza kuipata hiyo mikopo kiujumla haki haijatendeka kwa asilimia kubwa ya wanafunzi
Wewe mwanafunzi unafanya nini humu?
 
Forum statistics

Threads 1,236,310
Members 475,050
Posts 29,253,817