wakuu wa mikoa wanahusikaje na kugawa fedha mikopo elimu ya juuRais ameyasema hayo wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu ikulu leo 27/10/2017 na kuwataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha Fesha hizo zinafika vyuoni kwa wakati.
Hongera sana JPM
hivi huyu ni naniHana jipya. Mbona umaskini unazidi tu?? Pamoja na tambo zoote hizo mbona watu hali zao zinazidi kuwa ngumu?
vizuri kama ni kweli maana siku hizi.....Rais ameyasema hayo wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu ikulu leo 27/10/2017 na kuwataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha Fesha hizo zinafika vyuoni kwa wakati.
Hongera sana JPM
Atakuwaje na jipya ikiwa hufanyi kazi kutwa jf kupinga kila kitu, unadhani rais atapita kila kaya kugawa mafutushi ya pesa bila mtu kufanya kazi?Hana jipya. Mbona umaskini unazidi tu?? Pamoja na tambo zoote hizo mbona watu hali zao zinazidi kuwa ngumu?
Hana àlijualo, ni wa kumhurumia. Bora liende.wakuu wa mikoa wanahusikaje na kugawa fedha mikopo elimu ya juu
fedha za mikopo ndio zimetengwa lakini kwa asilimia kubwa haziwafikii wale wanafunzi wanao lengwa kwa mfano mm ni mtoto wa mkulima na niliomba mkopo lakini cha kushangaza mkopo sijapewa lakini wapo watoto wa wazazi wenye kipato kizuri wamepewa mikopo ss nashindwa kuelewa hii mikopo wamegawa kwa kufuata vigezo gani wapo wengine walidanganya katika taarifa zao za kuomba mikopo lakini hao ndo wa kwanza kuipata hiyo mikopo kiujumla haki haijatendeka kwa asilimia kubwa ya wanafunziRais ameyasema hayo wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu ikulu leo 27/10/2017 na kuwataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha Fesha hizo zinafika vyuoni kwa wakati.
Hongera sana JPM
kila kitu kinawezekana awamu hii mkuu usishangae ikitokea wakahusikawakuu wa mikoa wanahusikaje na kugawa fedha mikopo elimu ya juu
Umaskini ukifika kwako usiseme watu, sema mimi! Umekosa nini? Usisambaze hasira isiyowahusu wengine.Hana jipya. Mbona umaskini unazidi tu?? Pamoja na tambo zoote hizo mbona watu hali zao zinazidi kuwa ngumu?
Huwezi kujua wewe nyamazawakuu wa mikoa wanahusikaje na kugawa fedha mikopo elimu ya juu
Wewe mwanafunzi unafanya nini humu?fedha za mikopo ndio zimetengwa lakini kwa asilimia kubwa haziwafikii wale wanafunzi wanao lengwa kwa mfano mm ni mtoto wa mkulima na niliomba mkopo lakini cha kushangaza mkopo sijapewa lakini wapo watoto wa wazazi wenye kipato kizuri wamepewa mikopo ss nashindwa kuelewa hii mikopo wamegawa kwa kufuata vigezo gani wapo wengine walidanganya katika taarifa zao za kuomba mikopo lakini hao ndo wa kwanza kuipata hiyo mikopo kiujumla haki haijatendeka kwa asilimia kubwa ya wanafunzi