Rais Magufuli: Nimeidhinisha shilingi bilioni 147 mikopo ya wanafunzi, nitashangaa wanachuo wakihangaika

Rais ameyasema hayo wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu ikulu leo 27/10/2017 na kuwataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha Fesha hizo zinafika vyuoni kwa wakati.
Hongera sana JPM
vizuri kama ni kweli maana siku hizi.....
 
Rais ameyasema hayo wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu ikulu leo 27/10/2017 na kuwataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha Fesha hizo zinafika vyuoni kwa wakati.
Hongera sana JPM
fedha za mikopo ndio zimetengwa lakini kwa asilimia kubwa haziwafikii wale wanafunzi wanao lengwa kwa mfano mm ni mtoto wa mkulima na niliomba mkopo lakini cha kushangaza mkopo sijapewa lakini wapo watoto wa wazazi wenye kipato kizuri wamepewa mikopo ss nashindwa kuelewa hii mikopo wamegawa kwa kufuata vigezo gani wapo wengine walidanganya katika taarifa zao za kuomba mikopo lakini hao ndo wa kwanza kuipata hiyo mikopo kiujumla haki haijatendeka kwa asilimia kubwa ya wanafunzi
 
Wakuu wa Mikoa wanahusikaje na mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu? Au katiba na sheria ya HESLB imebadilika? Hivi Mkuu wa Mkoa wa Manyara nae atasimamiaje fedha za bodi wakati mkoani wake hakuna Chuo Kikuu? Ngoja niangalie zangu marudio ya Futuhi.

Thanks God Its Friday!!
 
fedha za mikopo ndio zimetengwa lakini kwa asilimia kubwa haziwafikii wale wanafunzi wanao lengwa kwa mfano mm ni mtoto wa mkulima na niliomba mkopo lakini cha kushangaza mkopo sijapewa lakini wapo watoto wa wazazi wenye kipato kizuri wamepewa mikopo ss nashindwa kuelewa hii mikopo wamegawa kwa kufuata vigezo gani wapo wengine walidanganya katika taarifa zao za kuomba mikopo lakini hao ndo wa kwanza kuipata hiyo mikopo kiujumla haki haijatendeka kwa asilimia kubwa ya wanafunzi
Wewe mwanafunzi unafanya nini humu?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom