nimekuwa nafanya kazi na hawa watu kwa muda mrefu sasa na kuwashauri na kusikia changamoto zao, ni kweli ni mtego wa kodi lakini itampunguza hasara wanazozipata kwa usumbufu kwa askari wa miji ikiwemo kumwagiwa bidhaa zao au kudhurumiwa achilia mbali rushwa wanazotoa kila siku na kufanya mazingira ya kipato kuwa magumu.Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,
Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?
Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,
Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa
Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"
Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya
Shangilieni
sidhani kama hili lipo hivyo ukichukulia boss atawapima wakuu wa mikoa kwa mshiko na ushawishi kwa vijana na ambao wengi wao ni CHADEMA wanaofanya biashara.Naam habari za uhakika ni kuwa wale machinga wanaopiga domo kukosoa, wapinga kila kitu na ambao siyo wazalendo kwa nchi yao wametakiwa kujiandaa kisaikolojia kwani katu hawatopewa vitambulisho vilivyotolewa kwa ajili yao.
Aidha ili kuwa na uhakika wa kupata kitambulisho hicho basi uwe na kadi ya CCM.
#TeamWanaotumiwaNaMabeberu tutapata tabu sana!
Nasikia huko Mbeya mkuu wa mkoa ndugu Chalamila tayari anayo orodha ambayo hao katu hawatoonja ladha ya vitambulisho vya JPM.
niliandika jambo kama hili jana lakini moderator akahamisha jukwaaNaam habari za uhakika ni kuwa wale machinga wanaopiga domo kukosoa, wapinga kila kitu na ambao siyo wazalendo kwa nchi yao wametakiwa kujiandaa kisaikolojia kwani katu hawatopewa vitambulisho vilivyotolewa kwa ajili yao.
Aidha ili kuwa na uhakika wa kupata kitambulisho hicho basi uwe na kadi ya CCM.
#TeamWanaotumiwaNaMabeberu tutapata tabu sana!
Nasikia huko Mbeya mkuu wa mkoa ndugu Chalamila tayari anayo orodha ambayo hao katu hawatoonja ladha ya vitambulisho vya JPM.
Something somewhere is wrong .............!!Serikali yetu hii! kuna siku wataondoka na huku nyuma tutajua yote na kujiuliza hawa waliopita tunastahili kuwafanyaje? nadhani stahili itakuwa kuwapeleka Mirembe wote wapimwe
Hivi mbongo ni binadamu aliekamilika?
Ukweli mtupu, well saidChagadema hii hoja imekuwa ngumi ya tumbo...hapa ndipo mlipokuwa mnapata waandamanaji.Kwisha habari yenu...mwambieni DJ aheshimu Mahakama laa sivyo ataishia jela.
Kwa hali ilivyo Tanzania hiyo sitashangaa kabisa kigezo kikuu kiwe kuwa mwanachama wa ccm kupewa hivyo vitambulisho
mechi za kirafiki zishapigwa kwenye CHAFUZI NDOGO kama ule wa kinondoni,washatest mitambo siku miingiii,polisi wapo kwa mfano yule RPC wa mwanza anakuambia kidumu chama cha mapinduzi,waiziri wa mambo ya ndani anawaambia polisi watembee na ilani ya chama,hapo kwa msaada wa polisi jamaa anashinda kwa asilimia 99.9.Mimi yangu macho ni kwenye box la kura 2020. Kuna uwezekano mkubwa wa Magu kupata ushindi wa asilimia 85%
Nani kasema "wanapewa" hahahaha wanatakiwa kununua ili kunusuru ukata uliopoKwa hali ilivyo Tanzania hiyo sitashangaa kabisa kigezo kikuu kiwe kuwa mwanachama wa ccm kupewa hivyo vitambulisho
Yeah, mimi binafsi nitanunua kwa asiye nakitambulisho, haiwezekani nchi yetu sote halafu watutenge kisa tunatofautiana mawazo.Watu waweza kuona huu usemao ni utani lakini ndio njia pekee ya kupambana nao. Pia na sisi wale wanunuzi tutanunua pale tuu ambapo hatutaona kitambulisho.
Hiyo inaita tit for tat
hayo ni mawazo yako na mihemko yako, mh Rais hakusema hivyo.Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,
Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?
Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,
Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa
Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"
Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya
Shangilieni
MEMBEFOR PRESDENTIAL 2020Chagadema hii hoja imekuwa ngumi ya tumbo...hapa ndipo mlipokuwa mnapata waandamanaji.Kwisha habari yenu...mwambieni DJ aheshimu Mahakama laa sivyo ataishia jela.
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,
Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?
Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,
Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa
Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"
Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya
Shangilieni
hahahaha huyu kweli raisi wa wanyonge. korosho zimemshinda ana haha na mengine?Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,