Rais Magufuli na karata ya machinga kuelekea 2020

Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
nimekuwa nafanya kazi na hawa watu kwa muda mrefu sasa na kuwashauri na kusikia changamoto zao, ni kweli ni mtego wa kodi lakini itampunguza hasara wanazozipata kwa usumbufu kwa askari wa miji ikiwemo kumwagiwa bidhaa zao au kudhurumiwa achilia mbali rushwa wanazotoa kila siku na kufanya mazingira ya kipato kuwa magumu.
mfano mnzuri wako mama lishe/wamachinga inawabidi wapoteze shilingi 3000 kila siku ili wasisumbuliwe sasa ukiipiga hii kwa mwaka 1,080,000 kwa hiyo laki mbili kwao wakiwekewa utaratibu mnzuri na rafiki sio kitu kwao. ukilinganisha na leseni ya 200,000 kodi tra 150,000 service charge 120,000 na mambo mengine mengi.
hata hivyo maendeleo yana gharama huwenda wakilipa itawasaidia kukua zaidi katika biashara na uwezo wa kupambana na changamoto zao.
 
si
Naam habari za uhakika ni kuwa wale machinga wanaopiga domo kukosoa, wapinga kila kitu na ambao siyo wazalendo kwa nchi yao wametakiwa kujiandaa kisaikolojia kwani katu hawatopewa vitambulisho vilivyotolewa kwa ajili yao.

Aidha ili kuwa na uhakika wa kupata kitambulisho hicho basi uwe na kadi ya CCM.

#TeamWanaotumiwaNaMabeberu tutapata tabu sana!

Nasikia huko Mbeya mkuu wa mkoa ndugu Chalamila tayari anayo orodha ambayo hao katu hawatoonja ladha ya vitambulisho vya JPM.
sidhani kama hili lipo hivyo ukichukulia boss atawapima wakuu wa mikoa kwa mshiko na ushawishi kwa vijana na ambao wengi wao ni CHADEMA wanaofanya biashara.
hivyo mkuu wa mkoa atakapofanya vinginevyo maisha yake katika madaraka yanahesabika! sikatai upo upendeleo kwa atua za awali kwa ubinadamu wetu na ubinafsi wetu lakini haitakiwi lisilete sura iliyokusudiwa.
 
Naam habari za uhakika ni kuwa wale machinga wanaopiga domo kukosoa, wapinga kila kitu na ambao siyo wazalendo kwa nchi yao wametakiwa kujiandaa kisaikolojia kwani katu hawatopewa vitambulisho vilivyotolewa kwa ajili yao.

Aidha ili kuwa na uhakika wa kupata kitambulisho hicho basi uwe na kadi ya CCM.

#TeamWanaotumiwaNaMabeberu tutapata tabu sana!

Nasikia huko Mbeya mkuu wa mkoa ndugu Chalamila tayari anayo orodha ambayo hao katu hawatoonja ladha ya vitambulisho vya JPM.
niliandika jambo kama hili jana lakini moderator akahamisha jukwaa
 
Serikali yetu hii! kuna siku wataondoka na huku nyuma tutajua yote na kujiuliza hawa waliopita tunastahili kuwafanyaje? nadhani stahili itakuwa kuwapeleka Mirembe wote wapimwe
Something somewhere is wrong .............!!

Yaani katumia karibu saa nzima kulalamika matatizi ambayo wote tunajua. Hakuna hata idea moja aliyotoa ili watu waijadili halafu mwisho wa siku .... vitambulisho vya Machinga, halafu watu wanashangilia!!
 
Kwa hali ilivyo Tanzania hiyo sitashangaa kabisa kigezo kikuu kiwe kuwa mwanachama wa ccm kupewa hivyo vitambulisho

Ikitokea ubaguzi wowote, ni wale wamachinga wasio na vitambulisho kujiunga pamoja na kupambana na wale wenye vitambulisho basi! Kama mbwai na iwe mbwai watalegea tuu. huu ukondoo wa watanzania hautatusaidia kabisa.
 
Mimi yangu macho ni kwenye box la kura 2020. Kuna uwezekano mkubwa wa Magu kupata ushindi wa asilimia 85%
mechi za kirafiki zishapigwa kwenye CHAFUZI NDOGO kama ule wa kinondoni,washatest mitambo siku miingiii,polisi wapo kwa mfano yule RPC wa mwanza anakuambia kidumu chama cha mapinduzi,waiziri wa mambo ya ndani anawaambia polisi watembee na ilani ya chama,hapo kwa msaada wa polisi jamaa anashinda kwa asilimia 99.9.
 
Watu waweza kuona huu usemao ni utani lakini ndio njia pekee ya kupambana nao. Pia na sisi wale wanunuzi tutanunua pale tuu ambapo hatutaona kitambulisho.
Hiyo inaita tit for tat
Yeah, mimi binafsi nitanunua kwa asiye nakitambulisho, haiwezekani nchi yetu sote halafu watutenge kisa tunatofautiana mawazo.
 
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
hayo ni mawazo yako na mihemko yako, mh Rais hakusema hivyo.
 
Mmekosa pa kutokea mmekuja na uongo huu siyo kwa serikali hii kila mtu anayestairi kupata atapata bila kuangalia itakadi ya chama wapinzani hivi mna nini nyinyi kila kitu kwenu hamna shukuran i wish i could a president wote ningewatia ndani mshike adabu zenu
 
Tulia dawa ikuingie vizuri.
Kaza Rais wangu mpaka wanye sosi.
Mtawaambia nini tena machinga?
 
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    17 KB · Views: 31
Jamani hakika sisi wamachinga sasa tumekuwa punching bag hasa kinapokaribia kipindi cha uchaguzi kama huu unaokuja wa serikali za mitaa.
Hivi kweli inaingia akilini Passport kubwa ya kusafiria inayotengenezwa kitaalamu sana imgharimu Mtanzania shs 150,000/ pekee kwa miaka 10 yaani wastani wa shis 15,000/ kwa mwaka na sisi wachumia juani kale kakadi katugharimu 20,000/ kwa mwaka mmoja?
Au gharama hiyo ni kwa vile hatutapigwa mabuti na virungu hivyo lazima tutoe chochote kwa serikali kama protection cost?
Haileti maana, au mimi ndio sielewi? TUHURUMIENI WAKUBWA KAMA NI KURA NJOONI MUMWAGE SERA SIO KUTUBAMIZA
 
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
hahahaha huyu kweli raisi wa wanyonge. korosho zimemshinda ana haha na mengine?
 
Back
Top Bottom