Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,067
....Hivi ni Payee au PAYE?Lipeni kodi nyie sisi watu tunakatwa payee, na kodi nyingine kwanini nyie msilipe? Wote sisi si watanzania mlipe kodi tuijenge nchi sote si kuonewa sisi wafanyakazi tu.
....Hivi ni Payee au PAYE?Lipeni kodi nyie sisi watu tunakatwa payee, na kodi nyingine kwanini nyie msilipe? Wote sisi si watanzania mlipe kodi tuijenge nchi sote si kuonewa sisi wafanyakazi tu.
jibu lako wewe ni la kishoga zaidi..Mtoa mada, Hapo [emoji115] umeongea Ushuzi wa Kenge.
Kijana, hiyo ndo kodi yenyewe sasa. Wameshindwa kuwakaba wamachinga mmoja mmoja kudai kodi, wameweka hii.Jamani hakika sisi wamachinga sasa tumekuwa punching bag hasa kinapokaribia kipindi cha uchaguzi kama huu unaokuja wa serikali za mitaa.
Hivi kweli inaingia akilini Passport kubwa ya kusafiria inayotengenezwa kitaalamu sana imgharimu Mtanzania shs 150,000/ pekee kwa miaka 10 yaani wastani wa shis 15,000/ kwa mwaka na sisi wachumia juani kale kakadi katugharimu 20,000/ kwa mwaka mmoja?
Au gharama hiyo ni kwa vile hatutapigwa mabuti na virungu hivyo lazima tutoe chochote kwa serikali kama protection cost?
Haileti maana, au mimi ndio sielewi? TUHURUMIENI WAKUBWA KAMA NI KURA NJOONI MUMWAGE SERA SIO KUTUBAMIZA
Duh! yani huyu jiwe huyu basi tuKijana, hiyo ndo kodi yenyewe hiyo sasa. Wameshindwa kuwakaba wamachinga mmoja mmoja kudai kodi, wameweka hii.
Wametumia ujanja kuwapata. Kwa hiyo machinga ukikutwa hauna kitambulisho ni sawa na duka kukutwa bila TIN na leseni ya biashara.
Habari ndo hiyo.
Huenda ni kwasababu mnafanya biashara.Jamani hakika sisi wamachinga sasa tumekuwa punching bag hasa kinapokaribia kipindi cha uchaguzi kama huu unaokuja wa serikali za mitaa.
Hivi kweli inaingia akilini Passport kubwa ya kusafiria inayotengenezwa kitaalamu sana imgharimu Mtanzania shs 150,000/ pekee kwa miaka 10 yaani wastani wa shis 15,000/ kwa mwaka na sisi wachumia juani kale kakadi katugharimu 20,000/ kwa mwaka mmoja?
Au gharama hiyo ni kwa vile hatutapigwa mabuti na virungu hivyo lazima tutoe chochote kwa serikali kama protection cost?
Haileti maana, au mimi ndio sielewi? TUHURUMIENI WAKUBWA KAMA NI KURA NJOONI MUMWAGE SERA SIO KUTUBAMIZA
kuipata kadi ya ccm ni rahisi kuliko kuipata kazi ya yanga/simba. zipo zinauzwa kama njuguNaam habari za uhakika ni kuwa wale machinga wanaopiga domo kukosoa, wapinga kila kitu na ambao siyo wazalendo kwa nchi yao wametakiwa kujiandaa kisaikolojia kwani katu hawatopewa vitambulisho vilivyotolewa kwa ajili yao.
Aidha ili kuwa na uhakika wa kupata kitambulisho hicho basi uwe na kadi ya CCM.
#TeamWanaotumiwaNaMabeberu tutapata tabu sana!
Nasikia huko Mbeya mkuu wa mkoa ndugu Chalamila tayari anayo orodha ambayo hao katu hawatoonja ladha ya vitambulisho vya JPM.
Hahahahhaa aiseeenimecheka sana sana Aisee eti jibu LA Shoga,Sijui jamaa umefikiria nini Aisee,Unajua nlikuwa maeneo flani hapa Watu wanaitana Shosti,wengine shoga sasa nakutana na Huu Uzi lol!jibu lako wewe ni la kishoga zaidi..
Hivi Mkuu wale Madiwani na Wabunge waliokuwa wanajiuzuru kumuunga mkono Mtukufu siku hizi hawapo?Naona wameanza awamu mpya ya kuunga mkono juhudi.
Kwa uandishi huu HARAFU ww utakuwa muuza kitenesiHarafu mtoa mada ni mwalimu wa shule ya msingi!