Rais Magufuli na karata ya machinga kuelekea 2020

Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
Siku Rais alipotangaza kununua korosho kwa bei ya sh3300, niliona kwenye taarifa ya habari Itv machinga wa Mtwara akipiga magodi kwa niaba ya wanamtwara kumshukuru Rais kwa kuwakomboa na bei kubwa. NILICHEKA KWA MAUMIVU. Jana Rafiki yangu wa Lindi kaniambia kule ni kilio kimetawala. NA HAWA WA VITAMBULISHO TUSUBIRI,MUDA HUWA HAUDANGANYI
 
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
Wamachinga tunajenga nchi yetu wenyewe. Kwa vihela vyetu wenyewe vya juani huu ni uchumi wa jasho na damu bila malipo!
 
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
Naomba kuuliza jamani kwa mfano wajasiliamali wadogo wadogo ambao walikuwa wanakata leseni kwa sasa wakija kupata kitambulisho cha Mheshimiwa Rais hawahitajiki tena kuwa na leseni?
 
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
wewe kama sio mfanyabiashara mdogo waache wenzio wapewe afu tuone mwisho wa siku itakuwaje. . . usipige ramli
 
Hili wazo la Vitambulisho vya wamachinga ni waste of time and is bad idea.

Kama gharama ya vitambulisho ni Tshs 20 000 then ina maana hizo elfu 20 wanazotoa wamachinga ni kurudisha gharama. Sasa kuna haja gani ya kuchapisha vitambulisho vya gharama halafu vinatumika kwa mwaka tu. Unless zoezi zima ni kwa ajili ya kuwasaidia wamachinga wasisumbuliwe. Lakini kama kitambulisho hakina jina ina maana kinaweza kutumiwa na mtu zaidi ya moja ... maana verification yake itakuwa ngumu. Yaani list ya vitambulisho iko Kantaramba halafu machimnga anapiga kazi Longido ... I can imagine!!
 
Serikali yetu hii! kuna siku wataondoka na huku nyuma tutajua yote na kujiuliza hawa waliopita tunastahili kuwafanyaje? nadhani stahili itakuwa kuwapeleka Mirembe wote wapimwe
 
Kwa hali ilivyo Tanzania hiyo sitashangaa kabisa kigezo kikuu kiwe kuwa mwanachama wa ccm kupewa hivyo vitambulisho
 
Kuna uwezekano kuwa watapaswa kuvilipia kila mwaka.
Hii ni tax base nyingine kama leseni tu.
Siyo inawezekana bali ndivyo ilivyoelezwa. Hicho kitambukisho ni cha mwaka mmoja tu. Mwakani watapewa tena, kwa malipo tofauti na haya.

Na kuna wakati aliwahi kueleza kuwa TRA siyo wabunifu. Kuna machinga karibia milioni 2, kwa nini wasiwatoze kodi, japo ya 10,000 tu halafu wanapewa vitambulisho. Kika mwaka wanaongezewa kiasi cha kulipa ili upewe kitambulisho.

Naona ameamua kuanzia na sh 20,000. Ni mbinu ya kuongeza mapato ya serikali.
 
Mimi yangu macho ni kwenye box la kura 2020. Kuna uwezekano mkubwa wa Magu kupata ushindi wa asilimia 85%
 
Back
Top Bottom