Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
kwani hawezi kuongea bila kuitaja chadema?
Hayo majizi yametoka chama gani vileee???? Jibu...Chadema ni chaka salama la majizi na sasa majangili
Maana yake ni kwamba huko ccm ndio majizi yanakozalishwa, yaani ccm yoote ni majizi matupuMiaka miwili anaishi naye akiwa kimya leo katoka kawa JIZI.Mbona hakumshughulikia kama alijua hivyo
Suala si kukamatwa tu, ili mtu athibiike ni mwizi lazima mahakama ndio ithibitisheIvii mtu akiwa mwizi akihamia chadema hawezi kukamatwa?
Hawezi kujibu mkuuHayo majizi yametoka chama gani vileee???? Jibu...
ntakurushia salio la mb 500
Kweli kabisa serikali inaogopa kugusa majizi na mafisadi yaliyoko chadema kwasababu serikali inaogopa sana kuambiwa ni ya visasi, ni afadhali ile mahakama kuu ya mafisadi ibaki tupu bila kesi na majizi na mafisadi yaendelee kubaki chadema maana serikali haiwezi kabisa kuyashika haya mafisadi yaliyoko chadema kwasababu sirikali hii haitaki kuambiwa ni sirikali ya visasi..ukiguswa utasikia ni visasi
Mi naona uaji limezidiJizi na uaji lipi baya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa wapo watu ambao walikuwa ni wezi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema saizi watu hao wamekimbilia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Rais Magufuli amesema hayo leo Oktoba 31, 2017 akiwa ziarani mkoani Mwanza ambapo alikuwa akiongea na wananchi wa Mkuyuni na Butimba jijini Mwanza na kusema kuwa yeye anataka maendeleo kwa kuwa anaamini Tanzania inahitaji kujengwa na Watanzania wote na kudai ndani ya vyama vya siasa kuna wezi ambao hao ndiyo wamechelewesha maendeleo ya nchini.
“Tunataka Tanzania mpya hilo ndiyo lengo langu kwa sababu yapo yalikuwa ni majizi makubwa sana Chama Cha Mapinduzi (CCM) yakakimbilia CHADEMA ndiyo maana sijasema CUF oyeee kwa sababu wapo waliomo CUF wengine ni wabaya sana. Mimi nataka maendeleo kwa sababu maendeleo yanaletwa na Watanzania wote tushikamane ndugu zangu tutachelewa tushikamane sasa hivi tuipeleke Tanzania yetu mbele” alisisitiza Rais Magufuli
======
My Take:
Eti sasa anasema majizi yame hamia CHADEMA!!!!! Aibu kubwa hii....
Hivi Magufuli anatuchukuliaje Watanzania?
Yaani mko na mafisadi na bado mkasema mahakama ya mafisadi imekosa kesi? Aibu kubwa hii.
Nyie endelezi kasi ya chuki na dhuluma by the time mnaamka usingizini mmebak wawili.
Chenge, ngeleja nk wao ninyalandu anajulikana ni fisadi mzuri tu
Mzalendoakihama na yeye tumuiteje.....

CHADEMA hawawezi kuongea popote zaid ya jukwaani?