Rais Magufuli: Majizi yamehamia CHADEMA

Rais Magufuli: Majizi yamehamia CHADEMA

Hapana hawawezi. Kwa nini maneno yasemwee jukwaani ukayaongelee ofisini?? Nadhani kama ingelikuwa ni haki naye angeliwapa chadema ruksa. Akiwa Mwanza wao wawe Mbeya. Wasingelikaa wakutane mji mmoja hivyo saa hizi nchi ingelikuwa mbaali sana. Tungeliona wawekezaji kutoka China, Korea na hata Israel. Tuache kujishutumu wenyewe tuwape ruksa wengine watushutumu nasi tuwajibu kwa vitendo. Maendeleo ni vitendo sio hadithi
Mbowe hawez kujibu akiwa jimbon kwake?Au ni lazima apande gari hadi mtwara?Kwann kila mbunge asisimame kwenye Jimbo lake na kupaza sauti?Hivi zito kwel ndan ya Jimbo lake anashindwa kuwaeleza wananchi hadi aje Dar?Ni Tanzania tu mbunge analilia kwenda kufanya mkutano Jimbo la mwenzie wakat lake lina mattz chungu nzima.
 
Chadema chama cha kupokea majizi.......
Wakiwa ccm safiii sana wakitoka majizi akili zenu kma za mwenyekiti wenu,ile mahakama ya mafisadi si ingeanza na makada wenu chenge,ngeleja,karamagi lakini mmewaogopa mkaishia kula kona,dadadekiii lazma mtage mayai viza
 
Mbowe hawez kujibu akiwa jimbon kwake?Au ni lazima apande gari hadi mtwara?Kwann kila mbunge asisimame kwenye Jimbo lake na kupaza sauti?Hivi zito kwel ndan ya Jimbo lake anashindwa kuwaeleza wananchi hadi aje Dar?Ni Tanzania tu mbunge analilia kwenda kufanya mkutano Jimbo la mwenzie wakat lake lina mattz chungu nzima.

Tatizo ni upofu mlio nao. Yeye alikuwa jimboni mwake leo?? Kwa nini tupewe mgawo wa mahali pa kutembelea hapa Tz? Huu ubaguzi wa ukanda, ujimbo na ukabila umeanza lini tena?? Usiniambie ati ndiye rais. Kwani alizaliwa kila mahali Tz?? Huwezi halalisha woga huu wenu na kitu chochote
 
Yule ni Rais wa Tanzania sio mbunge wa jimbo lolote. Anaweza kwenda sehem yyt kukagua mirad ya maendeleo na kuongea na wananchi. Mbowe aende mtama akaongee nn?Kila mtu ajikite kutetea wananchi wake na kuhakikisha wanapata maendeleo. Jimbo lako halina maendeleo unakimbilia Jimbo la mwenzio kufanya nn?Siasa zisizo na tija hatuzitaki Tanzania.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa wapo watu ambao walikuwa ni wezi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema saizi watu hao wamekimbilia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Rais Magufuli amesema hayo leo Oktoba 31, 2017 akiwa ziarani mkoani Mwanza ambapo alikuwa akiongea na wananchi wa Mkuyuni na Butimba jijini Mwanza na kusema kuwa yeye anataka maendeleo kwa kuwa anaamini Tanzania inahitaji kujengwa na Watanzania wote na kudai ndani ya vyama vya siasa kuna wezi ambao hao ndiyo wamechelewesha maendeleo ya nchini.

“Tunataka Tanzania mpya hilo ndiyo lengo langu kwa sababu yapo yalikuwa ni majizi makubwa sana Chama Cha Mapinduzi (CCM) yakakimbilia CHADEMA ndiyo maana sijasema CUF oyeee kwa sababu wapo waliomo CUF wengine ni wabaya sana. Mimi nataka maendeleo kwa sababu maendeleo yanaletwa na Watanzania wote tushikamane ndugu zangu tutachelewa tushikamane sasa hivi tuipeleke Tanzania yetu mbele” alisisitiza Rais Magufuli

======

My Take:
Eti sasa anasema majizi yame hamia CHADEMA!!!!! Aibu kubwa hii....

Hivi Magufuli anatuchukuliaje Watanzania?

Yaani mko na mafisadi na bado mkasema mahakama ya mafisadi imekosa kesi? Aibu kubwa hii.

Nyie endelezi kasi ya chuki na dhuluma by the time mnaamka usingizini mmebak wawili.

Keshasahau ule mkangafu wa kwenda bagamoyo ambao aliuita mzinga wa jeshi na kuwatisha wananchi wasiujadili baada ya kuukabidhi jeshini wakati haina uwezo hata wa kushindana na baiskeli ya miti
 
Duh!!
IMG-20171101-WA0045.jpg
 
Kwao wao wana kiwanda cha kuzalisha wezi,mahakama ya mafisadi imebakia gofu haina kazi wangeyatoa majizi yote yaliyobakia huko wayafunge.
 
Duuhh umenikumbusha mahakama ya mafisadi. Hivi imeishia wapi??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Siasa za majukwaaani zilikuepo zaidi ya miaka 26 iliyopita kuna maendeleo gani kupitia hiyo mikutano ya kisiasa.?
Chuma cha reli walahi mkigusa mmenasa hakuna siasa za maigizo mjikite majimboni kwenu.
 
Miaka miwili anaishi naye akiwa kimya leo katoka kawa JIZI.Mbona hakumshughulikia kama alijua hivyo
Kama ni JIZI kwani limehama nchi? Kwanini lisikamatwe. Wimbo umekuwa huo huo kila siku tumeibiwa, tumeibiwa... mafisadi, mafisadi....kwa maana hiyo hiyo mijizi na mafisadi anawaogopa? Mbona kuna mahakama ya mafisadi kwa nini wasishtakiwe huko?
 
Wakiwa ccm safiii sana wakitoka majizi akili zenu kma za mwenyekiti wenu,ile mahakama ya mafisadi si ingeanza na makada wenu chenge,ngeleja,karamagi lakini mmewaogopa mkaishia kula kona,dadadekiii lazma mtage mayai viza
Na wakiwa CCM mnawashutumu ni wezi wakija huko mnasema ni wasafi na ni mashujaa.
 
Back
Top Bottom