Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,484
- 18,331
Mara paaaaaap mwaka 2019 Magufuli nae anahamia chadema.
Mvumilie tu , yupo kwenye dose huyo baba ubaya.Anasema majizi yamehamia CHADEMA. Hii kauli inatoka kwa Rais wa nchi.
Ina maana wezi anawajua na hawachukulii hatua yoyote?
Pia anasema "Tanzania Oyee" na hana uchama na anaona vyama vinamchelewesha akitaka tushikamane.
Upande wa pili yeye ni mwenyekiti wa CCM. Kama hapendi mambo ya chama ajivue uenyekeiti, aende mbele zaidi na kufuta vyama vya siasa ili tusichelewe. Anawapa madaraka wale wote wanaopambana na upinzani. Huu ni unafki wa hali ya juu.
Pia anasema amewabana wezi wazungu. Hakuna mwizi wa kizungu amefikishwa mahakamani mpaka sasa. Wamesema wanatupa 0.16% ya tunachowadai. Na wanatupa in "good faith". Sasa wewe unamdai mtu na anakupa 0.16% ya unachodai na unasema umembana? Huyu si mzima kichwani.
Anatumia nguvu sana kuongea na kujieleza. Hii ni sifa ya mtu anayeongea kutokana na hisia zake na si maarifa. Kuongozwa na hisia ni kuzama kwenye shimo.
Kama ni wezi watabaki kuwa wezi tu, hata wakiitwa wasafi na mashujaa hilo haliwezi kuondoa ukweli kama kuna huo ukweli.Na wakiwa CCM mnawashutumu ni wezi wakija huko mnasema ni wasafi na ni mashujaa.
Ni kuwa makini tu mkuu. Kuwepo na coordination kati ya mdomo na ubongo.Kwa kachumbari hii tujifunze nini mkuu..???
akihama na yeye tumuiteje.....
SIKU AKIRUHUSU WALLAH NAHAMA NCHI..Raisi wangu, wape chadema uhuru wa kukwea majukwaani waongee kama ccm inavyoongea ili tupime ukweli wa majizi yako ccm au chadema.
Ile mahakama nlifungua kufugia kuku au comedy kma kawa mana hii awamu ni waongo shetani anasubiriNa wakiwa CCM mnawashutumu ni wezi wakija huko mnasema ni wasafi na ni mashujaa.
Ujue kutofautisha kati ya manager na leader [emoji23] [emoji23] [emoji23]It's unfortunate to have a manager of this kind of thinking.
The same na mtu akiwa ccm ni fisadi, lakini akihamia chadema ni kamanda..wezi kwa kuwa wa nahama ccm???wakiwa ccm si wezi????unafiki na chuki ya halu ya juu hio...Mwambieni huyu rais Mungu anamwona....,chuki na unafiki ni dhambi mbaya sana...
Naona mkuu umeandika vizuri lakin umefikiria uliposimamaHaki yyt inatakiwa iendane na wajibu. Je unafikiri kwa kauli zinazotolewa na wapinzan zinaakisi UZALENDO DHIDI YA SERIKALI NA NCHI YAO?Wengi wanadai haki lkn wajibu hawajui uko vipi.Kila mtu anahaki ya kutoa maoni bila kuingiliwa na mtu yyt.lkn je nini wajibu wake ktk kutoa maoni?Je anatimza wajibu wa kulinda heshima ya mtu?Je anatimiza wajibu wa kuhakikisha haleti sintofaham ktk jamii?Mtu anaulizwa nini kazi za chama cha UPINZANI anajibu ni kuwachochea wananchi waione SERIKALI yao haifai,kweli?Kiongoz kama huyu anadai haki ya mikutano ya kisiasa.
Kingine Mbunge kachaguliwa awatetee wananchi wa Jimbo lake lkn pia anaweza kuwatetea wananchi nje ya Jimbo lake.Mbunge jimbo lake la kawe linashida tele,badala ya kupambana awasaidie yy analilia kwenda kufanya mkutano mbeya. Ni vitu vya ajabu.Kwanini kila mbunge asisimame kwenye Jimbo lake kila siku apaze sauti kuwapigania wananchi wake na kushirikiana ktk kutatua changamoto zaid anataka aende Arusha akafanye siasa?Kuna mattz yanahitaji utashi wa mbunge na wananchi ili kuyatatua,kwanini hawafanyi hivo kila siku wako DAR kukimbizana na POLISI?Shule haina choo,mbunge anahimiza kila mwananchi aje na tofari mbili kwa ajili ya ujenzi,inashindikana nn?Au hapo panahitaji uende kwenye majukwaa ndio upige kelele?
Yako mengi sana.mimi naona wanaolilia mikutano ya kisiasa hawana hoja za mcng ktk kumkomboa mtanzania zaid ya kujinufaisha wao kisiasa. Umeambiwa piga siasa kwenye Jimbo lako,we hutak unataka uende kwenye Jimbo la mwenzio. Kwamba Jimbo lako mattz hamna?Kwamba Jimbo lako huwezi kusikilizwa au sababu ya mcng mbunge kulilia kupiga siasa kwenye Jimbo la mwenzie ni nn?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa wapo watu ambao walikuwa ni wezi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema saizi watu hao wamekimbilia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Rais Magufuli amesema hayo leo Oktoba 31, 2017 akiwa ziarani mkoani Mwanza ambapo alikuwa akiongea na wananchi wa Mkuyuni na Butimba jijini Mwanza na kusema kuwa yeye anataka maendeleo kwa kuwa anaamini Tanzania inahitaji kujengwa na Watanzania wote na kudai ndani ya vyama vya siasa kuna wezi ambao hao ndiyo wamechelewesha maendeleo ya nchini.
“Tunataka Tanzania mpya hilo ndiyo lengo langu kwa sababu yapo yalikuwa ni majizi makubwa sana Chama Cha Mapinduzi (CCM) yakakimbilia CHADEMA ndiyo maana sijasema CUF oyeee kwa sababu wapo waliomo CUF wengine ni wabaya sana. Mimi nataka maendeleo kwa sababu maendeleo yanaletwa na Watanzania wote tushikamane ndugu zangu tutachelewa tushikamane sasa hivi tuipeleke Tanzania yetu mbele” alisisitiza Rais Magufuli
======
My Take:
Eti sasa anasema majizi yame hamia CHADEMA!!!!! Aibu kubwa hii....
Hivi Magufuli anatuchukuliaje Watanzania?
Yaani mko na mafisadi na bado mkasema mahakama ya mafisadi imekosa kesi? Aibu kubwa hii.
Nyie endelezeni kasi ya chuki na dhuluma by the time mnaamka usingizini mmebaki wawili.