Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Inauma sana hasa kama tunataka maendeleo. Maendeleo hayaji kwa kujifungia Ikulu. Lazima ukapate new ideas na kubadilishana mawazo na wenzako hasa waliokuzidi ili upate maufundi.
Rais Lazima atambue kuna umuhimu wa kuhudhuria mikutano kama hii ya maendeleo.

Mimi nimeshasema zaidi ya mara moja,rais wetu hakupaswa kuwa rais kwani hayo ni madaraka makubwa sana kwa kile anachokifanya hivi sasa. Alipaswa kuendelea kuwa waziri wa miundombinu kwani ndio eneo pekee analolimudu kwa usahihi, eneo hili ana alama B. Maeneo ya kiuchumi na kijamii ana alama F. Rais mzuri anapaswa kuwa na wastani wa alama c katika uchumi, kisiasa, nk.
 
Tatizo kubwa lilikua ukabila pia. Wengine walimuona kama ni mkabila

Kwa mtu ambaye ameangalia tu kichwa cha habari kisha kuangalia huu post yako anaweza akadhani mnaongeleo mtawala wa hapa. Kimsingi hayo ndio matatizo ya viongozi wengi wa kiafrika. Ukiwasikia wana nguvu sana, utakuta wanatawala zaidi kwa hisia zao kuliko katiba.
 
Yaani ukisoma ni kweli alipigania uhuru. Ila baada ya kupata uhuru yeye akageuka kuwa mkoloni wa waghana wenzake. Halafu alitamani sana Africa iungane,ikute moyoni mwake alitaka kuwa Rais wa maisha wa Africa.
Ukisoma alivyowafanyia wenzake walompinga inasikitisha.

Hapa sasa ukiniambia ww Ni below 35 naamini na sio kwa swagga zile zako.
 
Ifikie hatua Watanzania tubadilike wenye masikio wasikie kila mtu anajifanya ni mshauri wa serikari,mnatia hasira sana

Huwezi kuzuia ushauri, angelazimishwa kufuata kila ushauri hapo sawa. Ww inaonekana ni wale wazee ambao huko nyumbani kwao hawaruhusu hata watoto wawashe TV.
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
Akafanye nn huko yeye ni mtanzania tena halisi anayeongea kiswahili ,huko japani acha waende tu
 
Inauma sana hasa kama tunataka maendeleo. Maendeleo hayaji kwa kujifungia Ikulu. Lazima ukapate new ideas na kubadilishana mawazo na wenzako hasa waliokuzidi ili upate maufundi.
Rais Lazima atambue kuna umuhimu wa kuhudhuria mikutano kama hii ya maendeleo.
Malaika mkuu ni jiniasi anajua kila kitu, na sasa ana cheo kipya cha unabii wa kufanya miujiza zaidi ya iliyofanywa na Yesu Kristu, aende Japan kufanyaje haitaji kushauriwa wala mawazo ya yoyote yule.
 
Hapa sasa ukiniambia ww Ni below 35 naamini na sio kwa swagga zile zako.
Mimi nasoma sana historia wewe. Jifunze kusoma. Huwa nasoma sana Viongozi wa Africa waliopipigania uhuru au unataka nikupe somo kuhusu Sekou Touré,Thomas Sankara. Tena Thomas Sankara alikufa wakati nazaliwa ila nikikusimulia utafikiri wakati anachukua nchi kwa Coup d'État nilikuwepo. Napenda sana kusoma historia.
Niulize kuhusu Patrice Lumumba.
Yaani huwezi jua tu the way huwa ninaenjoy ninavyowasoma hawa watu.
 
Malaika mkuu ni jiniasi anajua kila kitu, na sasa ana cheo kipya cha unabii wa kufanya miujiza zaidi ya iliyofanywa na Yesu Kristu, aende Japan kufanyaje haitaji kushauriwa wala mawazo ya yoyote yule.
Hapo anafail. Ndoto yake ya maendeleo anatakiwa kuitimiza kwa kujifunza kwa watu walioendelea tayari.
 
Isipokuwa kwenda Chatto kwa airbus
Labda anaogopa kuzuiwa huko kama zilivyozuiwa ndege zetu..

Ila serious kuna mikutano ya muhimu kabisa, ambayo inashirikisha wakuu wa nchi, ambayo alitakiwa yeye aende na sio kumtuma mwakilishi.. Dhana ya kubana matumizi wakati anasimamia zoezi la kununua wapinzani na kuendesha chaguzi ndogo zisizo na ulazima wowote haina mashiko..

Awe tu muwazi kama ni muoga wa safari ndefu angani..
 
Tatizo huyu mkuu wetu ni kujiona mjuaji sana, na kukiri kuwa yeye hashauriki, hapo ndipo anapo kwama.
Tatizo haendi huko halafu next week yuko busy na Mkutano na Watendaji wa Kata ............!!

Kama kweli kuna sababu ya maana inayomfanya asihudhurie ni bora tukaelezwa ikajulika. Lakini siyo heshima kwa nchi kukualika halafu unamtuma mtu wa chini yako. Hiyo ni dharau ...!!
 
Arafu dogo kuwa na adabu huyo jiwe ni mdogo sana kwa baba yangu. Kujuwa kizungu cha kuandika na kujibia mtihani ni tofauti na kujuwa kizungu cha kuongea na fahamu anajuwa kizungu cha kujibia mtihani ila sio cha kuongee kuwa na akili dogo
Wewe mwenye kukijua kingereza vizuri mbona ujanja wako ni kupiga makelele tu humu jukwaani!!??.
 
Ningekuwa raisi hata mimi nisingeenda. Yaani maraisi wote Africa mnajazana pale na vibakuli vyenu kweli?

Nadhani anasimamia maneno yake kuwa Tanzania ni Tajiri, bado tunahitaji misaada na uwekezaji ila kuna uombaji mwingine wakujishushia heshima kama nchi.

Japan moja inawaita maraisi wote Africa mumfuate awaambie atawavushaje. Wacha nife na umasikini wangu.

Masikini Jeuri
Mfugale Flyover imejengwa kwa hisani ya kodi za wananchi wa Japan....
 
Kwa madeni tuliyonayo, unaweza ukapata hata dege la rais linazuiwa huko kwa mabeberu....

Hebu acha Rais wetu mpendwa abaki home....
 
Ongezea.....kwa nafasi yake ya uenyekiti wa SADC mkuu angetumia fursa hii vizuri.
 
Jiwe moyo wake una vyuma hivyo daktari kamshauli asisafiri na ndege mara kwa mara na lingine pia Lugha ya malkia ni shida jamani muoneeni huruma ndio maana ana msongo wa mawazo.
 
Back
Top Bottom