Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
25,040
Reaction score
60,227
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

20190828_210753.jpg
20190828_210738.jpg
20190828_210721.jpg
 
Mwenyekiti wa SADC yupo bize kutumbua majipu mapya huko SADC. In fact we are the Dona zone...Tutembee kifua mbere na nitahakikisha kikao kijacho cha Ji 7 kinafanyika kwenye Dona kantre Tanzania.
 
Mwenyekiti wa SADC yupo bize kutumbua majipu mapya huko SADC. In fact we are the Dona zone...Tutembee kifua mbere na nitahakikisha kikao kijacho cha Ji 7 kinafanyika kwenye Dona kantre Tanzania.
Hahahhhaha. Ila Magufuli hapa anakosea. Trump mwenyewe anahudhuria mikutano.
Rais Magufuli huu mkutano wa Japan kwake yeye kama mpenda maendeleo angeitumia nafasi hii kutema madini yake.
By the way kamtumbua nani tena huko SADC?
 
Mkuu wa majeshi mfuasi mkubwa wa Magufuli. Hakuna mtu wa kufanya "Coup d'État hapa Tanzania.

Unakumbuka vyema hisoria Auntie??,

Soma History uone jinsi Osagyefyo Dr Kwame Nkrumah wa Ghana jinsi alivyopinduliwa. Yeye mwenyewe alipoambiwa asubuhi juu ya kupinduliwa kwake na katibu mkuu wa china (Chuo Enlai) wakati huo, hakuamini na kwanza alisema; "it is impossible" baada muda kidogo akitafakari akasema; "it is possible".

Alikuwa China akielekea Vietnam huku akiwa na msafara wa mawaziri wake karibu wote.
 
Kwame Nkurumah alipinduliwa kwa sababu alitaka kubadili katiba ili awe Rais wa maisha. Hapo ndo alikosea.
Sasa Magufuli hajataka kubadili katiba.
Kupinduliwa siyo rahisi,lazima kuwe na sababu.
 
Hio picha ya kwanza rais wa zimbabwe Mnangagwa amekata jicho moja hivi.

Umetoa points za msingi sana.
Inauma sana hasa kama tunataka maendeleo. Maendeleo hayaji kwa kujifungia Ikulu. Lazima ukapate new ideas na kubadilishana mawazo na wenzako hasa waliokuzidi ili upate maufundi.
Rais Lazima atambue kuna umuhimu wa kuhudhuria mikutano kama hii ya maendeleo.
 
Back
Top Bottom