Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais wetu anamajukumu makubwa Ya utekelezaji wa majukumu aliyopewa na SADIC,ataenda awami nyigine akimaliza uenyekiti
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
 
hata hao walioenda wameenda kula perdiem tu hakuna significant gain yeyote zaidi ya kuspend
 
Mzee Meko hawezi kusafiri masafa marefu na ndege tunaweza kumpoteza mengine tumsamehe tu sio yeye ni afya mgogoro
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
Urais ni taasisi si kila jambo uelezwe, unajua hadhi ya waziri mkuu kama kiongozi wa serikali kwenye mkutano huo?
Hao ambao kila mkutano hawakosi ,ukitoa south afrika,Nigeria ,wanamdhidi nini Tanzania(Magufuli) katika kupiga kazi na.kuletea wananchi maendeleo akiwa nyumbani?
 
Aende Japan wamshikilie kama Ndege yetu.. We unaumwa nini...
 
Alivo na kiherehere na majivuno isingekuwa Kingereza ndo kinampa tabu angekuwa wa kwanza kuwasili Tokyo!
Si kweli ,Rais Magufuli "he is walk the talk",rejea hotuba yake bungeni wakati analihutubia bunge kwa mara ya kwanza yote haya alieleza
 
Kwa ushauri wangu mimi naona angehudhuria yeye binafsi. Unapokuwa na viongozi wenzako kuna mengi mazuri yanapatikana. Huo ni ushauri wangu binafsi.
 
Usimlingamishe Trump na Magufuli. Rais wa Marekani anapokwenda kwenye vikao vya kimataifa anao uwezo wa kutoa maamuzi yenye uwezo wa kubadirisha mwelekeo wa uchumi ma diplomasia za kimataifa. Ushiriki wa nchi za Africa kwenye mikutano kama hii hauna tija kama hivo unavotaka kutuaminisha. Maamuzi ya biashara, uwekezaji na hata diplomasia yanafanywa na hizo nchi kubwa. Uwepo wa Waziri Mkuu wa Tanzania unatosha.
Hahahhhaha. Ila Magufuli hapa anakosea. Trump mwenyewe anahudhuria mikutano.
Rais Magufuli huu mkutano wa Japan kwake yeye kama mpenda maendeleo angeitumia nafasi hii kutema madini yake.
By the way kamtumbua nani tena huko SADC?
 
Mabeberu gani na wewe? Japan ni mmoja wa wadau wa maendeleo Africa. Miradi mingapi hapa Africa imejengwa kwa hisani ya Japan?.Hivi kwanza Beberu ndo nani ? Kwa hiyo sisi ni majike wanatupanda sio? Huoni hili jina linawakuza zaidi ? Haijalishi mkutano unafanyika wapi,cha muhimu ni kinachojadiliwa kwa maendeleo ya nchi yetu.
Tusijifanye tunajua sana,lazima tujifunze kwa walio juu yetu kimaendeleo.
CCM ndio walioanzisha jina hilo likiwahusisha wapinzani. Lakini kwa CCM hao hao wanaitwa wafadhili/wawekezaji.
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350

Japan sio Chattle man!!
 
Niende kufanya nini wakati maendeleo sio kwa watanzania wote bali ni Chato only
 
Lakini na sie waafrica tunashida mahali, yaani marndeleo ya africa yanaenda kujadiliwa Japan tena kwa kufhaminiwa na Japan yenyewe, hivi unaweza kutaraji kuwepo na maendeleo kweli.
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
Kagame sikaenda au ulitaka wote waende..kagame akirudi atamwambia mwanafunzi wake maswala
 
Back
Top Bottom