Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Kwa Tanzania haiwezekani kwa sasa. Labda huko mbeleni ikitokea hali ya kusababisha hayo.
Inawezekana Sana'a ndo maana kila anapokwenda anaambatana na viongozi wote wakuu wa vyombo hivyo,bila kujua hata luteni tu anaweza kufanya hvyo.
Si lazma yafanikiwe yanaweza yasifanikiwe kama vile uturuki,ila tayari ndo itakuwa ishatokea.
 
Tatizo kubwa lilikua ukabila pia. Wengine walimuona kama ni mkabila
Yaani ukisoma ni kweli alipigania uhuru. Ila baada ya kupata uhuru yeye akageuka kuwa mkoloni wa waghana wenzake. Halafu alitamani sana Africa iungane,ikute moyoni mwake alitaka kuwa Rais wa maisha wa Africa.
Ukisoma alivyowafanyia wenzake walompinga inasikitisha.
 
Inawezekana Sana'a ndo maana kila anapokwenda anaambatana na viongozi wote wakuu wa vyombo hivyo,bila kujua hata luteni tu anaweza kufanya hvyo.
Si lazma yafanikiwe yanaweza yasifanikiwe kama vile uturuki,ila tayari ndo itakuwa ishatokea.
Unahisi kabisa Mabeyo anaweza mpindua Magufuli?
 
Hapana sijapotoshwa. Nimesoma sehemu nyingi tu. Nkurumah alikuwa dictator alijidhibitisha kama Rais wa Maisha. Alifunga waliompinga. Ndo maana ikawa Rais kwake kupinduliwa.
Kama huyu anavyowafunga wanaompinga
 
Unahisi kabisa Mabeyo anaweza mpindua Magufuli?
We mwanamke mbona unakuwa huelewii cdf hata sikumoja hawezi kufanya mapinduzi. Na kama akifanya basi hawezi kufanya yeye kama yeye lazima atatumia afisa wa cheo cha chini hivyo lazima atapitia kwa mgongo either wa Kanali,kapteni na hata luteni yoyote tu anatosha kabisa kuorganize mapinduzi akiongozwa na wanajeshi wachache tu ambao watamuunga mkono!
Ni kitendo tu cha kuteka nyara sehemu zote muhimu za taifa (wakati huo jiwe yupo zake kwa mabeberu huko anang'aa sharubu)
Unashangaa tu jamaa anajitokeza kwenye Televishen ya taifa TBC anatangaza mapinduzi kuanzia muda huo nchi yote inakuwa chini ya kikundi cha hao wachache.
Sasa hapo ndipo mapambano yatakapoanza kati ya wanajeshi ambao ni watiifu(loyal) kwa rais na hawa ambao wameshatangaza mapinduzi.
Hao walio loyal wakiwashinda hao waliopindua ndio jamaa anakuwa safe na msako wa kuwakamata unaanza,ila wakishindwa ndio bye bye nchi inakuwa chini ya utawala wa kijeshi muda wote mpaka hapo itakapoamuliwa vinginevyo.
 
We mwanamke mbona unakuwa huelewii cdf hata sikumoja hawezi kufanya mapinduzi kama umepitia kozi hata mojawapo ya jeshi utanielewa ninachokisema.
Kanali,kapteni na hata luteni tu anatosha kabisa kuorganize mapinduzi akiongozwa na wanajeshi wachache tu ambao watamuunga mkono!
Ni kitendo tu cha kuteka nyara sehemu zote muhimu za taifa (wakati huo jiwe yupo zake kwa mabeberu huko anang'aa sharubu)
Unashangaa tu jamaa anajitokeza kwenye Televishen ya taifa TBC anatangaza mapinduzi kuanzia muda huo nchi yote inakuwa chini ya kikundi cha hao wachache.
Sasa hapo ndipo mapambano yatakapoanza kati ya wanajeshi ambao ni watiifu(loyal) kwa rais na hawa ambao wameshatangaza mapinduzi.
Hao walio loyal wakiwashinda hao waliopindua ndio jamaa anakuwa safe na msako wa kuwakamata unaanza,ila wakishindwa ndio bye bye nchi inakuwa chini ya utawala wa kijeshi muda wote mpaka hapo itakapoamuliwa vinginevyo.
Ni ngumu sana hapa kwetu Tanzania. Kwa sasa wanajeshi wote wapo Royal kwa Rais.
 
[emoji1787][emoji1787]
Khe hawa watu wanao daka mwewe angani wanaweza kumdaka hata mzalendo wetu namba moja
Usicheze karbu na waden watu
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maisha yanakwenda kwa kasi mno, 2015 kurudi nyuma hapa JF tulikuwa na uzi maalum wa kuhesabu safari za Rais wetu aliyekuwa madarakani, sasa ni muda muafaka wa kuwa na Uzi maaluma wa kuhesabu safari za Rais wetu ambazo hakusafiri.
Yaani ww ukada umekufanya uwe kipofu tufa ye Sadc Nao wangetuma mawaziri wakuu au wawakilishi kungekua na uzito gani kwenye ule mkutano yy ni rais wa nchi hawezi kukwepa kuonana na ulimwengu
 
Hao pia ni mabeberu kama walivyo mabeberu wengine,

Inakuwaje mkutano unaohusu maendeleo ya Africa ufanyike Japan!?
Amin amin nawaambia,,,, "waafrika wasipoamka na kujipigania,,, hakuna ngozi nyeupe yoyote itakayokuja kuwapigania"

Amen.
Mmarekani yenye nguvu na uchumi wa dunia raisi wake anahudhuria mkutano sembuse jjpm
 
Inauma sana hasa kama tunataka maendeleo. Maendeleo hayaji kwa kujifungia Ikulu. Lazima ukapate new ideas na kubadilishana mawazo na wenzako hasa waliokuzidi ili upate maufundi.
Rais Lazima atambue kuna umuhimu wa kuhudhuria mikutano kama hii ya maendeleo.
Hawezipata maendeleo kwa attitude take ataishia mikosi tu.mdege yote yanakamatwa kwa kesi ziliOpo mahakamani
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.
Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.
Rais Magufuli najua umemtuma Waziri mkuu,ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo waziri mkuu.
Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wako.
Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.
Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda Juzi alikuwa France kwenye G7.Leo yupo Japan.
Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC,akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.
Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.
View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
Alivo na kiherehere na majivuno isingekuwa Kingereza ndo kinampa tabu angekuwa wa kwanza kuwasili Tokyo!
 
Mwenyekiti wa SADC yupo bize kutumbua majipu mapya huko SADC. In fact we are the Dona zone...Tutembee kifua mbere na nitahakikisha kikao kijacho cha Ji 7 kinafanyika kwenye Dona kantre Tanzania.
Badala ya dona kantri, tumekuwa sembe kantri
 
Back
Top Bottom