Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Kwame Nkrumah alitaka kujikweza alitaka hata wakao ingia kanisani waseme ''Kwa jina la Baba na la Nkrumah'' Waghana waliogopa slogans za haina hiyo ya kujilinganisha na Mungu
Asante. Kumbe kuna watu wanaofikiria. Nimependa mchango wako. Watu wanadhani Marekani ndo waliomtoa Nkurumah. Kama Nkurumah asingejifanya Mungu mtu hakuna Waghana wangemfanyia Coup d'État kisa kuambiwa na Marekani.
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350

Binafsi jibu sina ila nimefurahi sana kumuona Rais wa Rwanda Paul Kagame na nadhani hata Rais Yoweri Museveni nae yupo huko. Hawa ni Marais ambao nawapenda na nawakubali mno katika huu Ukanda wetu wa Maziwa Makuu.
 
Museveni yupo,Kenyata pia yupo.
 
Museveni yupo,Kenyata pia yupo.
George Weah msakata kabumbu hujamuona hapo!?
Ifike mahala kwakweli tufahamu tu ana tatizo gani.
Nna uhakika angekua anatembeatembea angeweza kutana hata na huyu jamaa aliyeteka ndege yetu wakayamaliza ki utu uzima..
Sasa MTU anajifungia ndani tu.
Sio poaaa..
 
Sijui tatizo ni nini? Itabidi atujibu. Maana suala la kubana matumizi halina mashiko.
 
Tuna kikao na watendaji wa kata, vikao mhimu kweli kweli kuliko cha G7 na Maendeleo Japan....ila marais waafrika mnatuangusha kikao cha maendeleo Africa kinafanyika Japan......
 
Mnhh...,!!?
 
Asante. Kumbe kuna watu wanaofikiria. Nimependa mchango wako. Watu wanadhani Marekani ndo waliomtoa Nkurumah. Kama Nkurumah asingejifanya Mungu mtu hakuna Waghana wangemfanyia Coup d'État kisa kuambiwa na Marekani.
Emb nipe lecture kidogo hapa
 
Kanuni ya Ras simba ilifeli vibaya,na hela yake alisharudishiwa.
 
kwani imeandikwa mahali kuwa anatakiwa kwenda kila mahali?
 
Emb nipe lecture kidogo hapa
Ni hivi 1964 chini Ya Kwame Nkurumah Ghana ilijisimika rasmi kuwa nchi ya chama kimoja. Na Rais wake wa Maisha akawa Nkuruma. Yaani Rais wa nchi wa maisha na pia mwenyekiti wa chama wa maisha.
Nkurumah alikuwa busy kuunganisha black Africans huku Ghana uchumi na maisha yakiwa magumu kwa wananchi. Aliwafunga walio gerezani waliompinga.
Basi 1966 sikumbuki mwezi akaenda Asia katika kuchochea USA iondoke Vietnam.
Akiwa Beijing huku nyuma kikanuka. Ndo ukawa mwisho wake na ikabidi akimbilie kwa swahiba wake Sekou Touré kule Guinea Conakry. Alikufa mwaka 1972 kwa Cancer.
 
Waooh nilikuwa namuheshimu kumbe naye Jiwe tu. Black listed!
 
Serikali hii sio ya one man show, Waziri mkuu ndie mtendaji mkuu wa shughuli za serikali wacha nae akasikie huko, kama kuna mazuri atayawasilisha kwenye vikao kama mrejesho.
 
Back
Top Bottom