Kwame Nkurumah alipinduliwa kwa sababu alitaka kubadili katiba ili awe Rais wa maisha. Hapo ndo alikosea.
Sasa Magufuli hajataka kubadili katiba.
Kupinduliwa siyo rahisi,lazima kuwe na sababu.
Mabeberu wasingekuwa na effects yeyote ile Kama Nkwame angeelewana vizuri na wenzake.Yeye alitaka u monopoly ndo maana ilikuwa rahisi kupinduliwa na akakimbilia Guinea kwa Rafiki yake mkubwa Sekou Toure.No, Auntie. Sababu kubwa ya Nkrumah kupinduliwa ni mpambano yake makubwa dhidi ya unyonyaji wa MABEBERU hasa Wamarekani, alitunga kitabu dhidi ubeberu wa America kiitwacho; (kama nakumbuka, Imperialism the last stage of capitalism), kikiwa tofauti kidogo na kile cha, V I lenin (imperialism the highest stage of capitalism), ndani ya kitabu chake alirejea kwa kuyataja makampuni makubwa ya kimarekani yanavyonyonya hususan nchi za kiafrika, hapo ndipo alipochokoza moto, ni CIA ndio waliopanga njama za mapinduzi.
Naomba tu kuuliza, what did you have for dinner today ?Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.
Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.
Rais Magufuli najua umemtuma Waziri mkuu,ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo waziri mkuu.
Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wako.
Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.
Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda Juzi alikuwa France kwenye G7.Leo yupo Japan.
Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC,akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.
Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.
View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
Hapana Kuna safari zingine sio za kukosa kabisa. Tusitumie sababu Kikwete alifanya safari nyingi basi JPM asifanye hata safari zenye umuhimu kwa maendeleo ya nchi yetu.Maisha yanakwenda kwa kasi mno, 2015 kurudi nyuma hapa JF tulikuwa na uzi maalum wa kuhesabu safari za Rais wetu aliyekuwa madarakani, sasa ni muda muafaka wa kuwa na Uzi maaluma wa kuhesabu safari za Rais wetu ambazo hakusafiri.
Pace makerLugha gongana
Maisha yanakwenda kwa kasi mno, 2015 kurudi nyuma hapa JF tulikuwa na uzi maalum wa kuhesabu safari za Rais wetu aliyekuwa madarakani, sasa ni muda muafaka wa kuwa na Uzi maaluma wa kuhesabu safari za Rais wetu ambazo hakusafiri.
Daah we jamaa,hahah.Yeye Yuko busy na maandalizi ya kukutana na Watendaji wa Kata.
Usimpangie "mtukufu sana" mungu asiyekosea.
Kwa jinsi mambo yalivyo sasa unaona haitaji kupindu;iwa?Kwame Nkurumah alipinduliwa kwa sababu alitaka kubadili katiba ili awe Rais wa maisha. Hapo ndo alikosea.
Sasa Magufuli hajataka kubadili katiba.
Kupinduliwa siyo rahisi,lazima kuwe na sababu.
Nimeona leo umeandika kitu cha tofauti. Nikaona labda it might be the food you had for dinner today.Salad na mishikaki.lakini,kwa nini unaniuliza swali kuhusu msosi ?