Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Usimlingamishe Trump na Magufuli. Rais wa Marekani anapokwenda kwenye vikao vya kimataifa anao uwezo wa kutoa maamuzi yenye uwezo wa kubadirisha mwelekeo wa uchumi ma diplomasia za kimataifa. Ushiriki wa nchi za Africa kwenye mikutano kama hii hauna tija kama hivo unavotaka kutuaminisha. Maamuzi ya biashara, uwekezaji na hata diplomasia yanafanywa na hizo nchi kubwa. Uwepo wa Waziri Mkuu wa Tanzania unatosha.
Trump na magufuli ni mbingu na ardhi
tapatalk_1566985895756.jpeg
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
tumelamba garasa
 
Nampangia kwa sababu nilimpa kura Yangu. Kikao kama hiki tena Wajapan kabisa anamtuma waziri mkuu? Ona waziri mkuu hata front page haonekani.Rais ana uzito wake jamani.
yaan huyu mzee sijui ana tatizzo gani kwakweli, tena Japan ni mshirika wetu wa maendeleo, bora kikwete angeendelea kuwepo madarakani kama kagame kwakweli ,inasikitisha
 
Raise anafanya vizuri kuliko marais wengi wa Africa, hana cha kujikomba......
 
Tatizo huyu mkuu wetu ni kujiona mjuaji sana, na kukiri kuwa yeye hashauriki, hapo ndipo anapo kwama.
 
yaan huyu mzee sijui ana tatizzo gani kwakweli, tena Japan ni mshirika wetu wa maendeleo, bora kikwete angeendelea kuwepo madarakani kama kagame kwakweli ,inasikitisha
Inasikitisha kwakweli, hii mikutano ndio fursa ya kukutana na wenzanko wakuambie wanafanya nini, sasa wewe kila siku umejifungia ndani kwako, ukienda mbali sana ni chattle......itabidi tuandamane kushinikiza rais awe anasafiri kuhudhuria mikutano ya maana kama hii
 
Nani aende japani.
Jiwe yuko busy kumuamishia faru john bugiri
 
wewe nduguyake na sky mnafananaaa muache jpm apige kazi
 
Inasikitisha kwakweli, hii mikutano ndio fursa ya kukutana na wenzanko wakuambie wanafanya nini, sasa wewe kila siku umejifungia ndani kwako, ukienda mbali sana ni chattle......itabidi tuandamane kushinikiza rais awe anasafiri kuhudhuria mikutano ya maana kama hii
kuna kitu uenda tulimkosea Mungu, maana,, mmh,, ye yupo bize kupanga mipango upinzani ufe,
 
kuna kitu uenda tulimkosea Mungu, maana,, mmh,, ye yupo bize kupanga mipango upinzani ufe,
Kuua democrasia na kujenga barabara tu, tutakula barabara.......
Sector zingine wala hana habari nazo, NGO zinamsaidia katika sector za afya, elimu n.k lkn ndio kwanza anazipiga vita, rais tunae aisee
 
Nampangia kwa sababu nilimpa kura Yangu. Kikao kama hiki tena Wajapan kabisa anamtuma waziri mkuu? Ona waziri mkuu hata front page haonekani.Rais ana uzito wake jamani.
Kwa hiyo ulitaka Rais aende ili akae front page? Dah akili hizi
 
Kuua democrasia na kujenga barabara tu, tutakula barabara.......
Sector zingine wala hana habari nazo, NGO zinamsaidia katika sector za afya, elimu n.k lkn ndio kwanza anazipiga vita, rais tunae aisee
Hiyo democracy inakusaidiaje kupata chakula?

Hivi hata maana ya NGO unajua kweli sababu umeongea mashudu kichizi

Kuna NGO nchini ya kutoa zaidi ya billions 60 kwa mwezi kwenye kipengele kimoja tu cha elimu bure?
 
kikao cha maendeleo ya Japan kilifanyika wapi ????
 
yaan huyu mzee sijui ana tatizzo gani kwakweli, tena Japan ni mshirika wetu wa maendeleo, bora kikwete angeendelea kuwepo madarakani kama kagame kwakweli ,inasikitisha
Kama mpaka saivi bado hujalia basi ujue JPM bado hajakugusa inabidi uende extra miles zaidi ya just kusikitika
 
Back
Top Bottom