Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Japan ni wadau wakubwa wa Maendeleo hapa nchini. Angetumia fursa hii kwenda kuonana ana kwa ana na PM wa Japan na kumpiga sound kuhusu maendeleo.
sound za nini wakati mambo yetu mazuri na mwenyewe PM atashuka tu.....
 
Nimeipenda hii nitaongezea kidogo. BRAVO!

Maendeleo hayaji kwa kujifungia Ikulu, kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Watanzania na kufanya maovu.


Inauma sana hasa kama tunataka maendeleo. Maendeleo hayaji kwa kujifungia Ikulu. Lazima ukapate new ideas na kubadilishana mawazo na wenzako hasa waliokuzidi ili upate maufundi.
Rais Lazima atambue kuna umuhimu wa kuhudhuria mikutano kama hii ya maendeleo.
 
si angeita wawekezaji waje wajenge kiwanda cha magari USED 😂😂😂😂😂😂 mwacheni bhana haya magati used yametupendezea
 
Wewe mwenye kukijua kingereza vizuri mbona ujanja wako ni kupiga makelele tu humu jukwaani!!??.
Uwa sibishani na wapumbavu ungekuwa mjinga kidogo ningekuelewesha ukaelewa ila kwa vile ni mpumbavu uta nielewa uvccm akili zenu uwa mnawashwa unataka kukunwa nini?
 
Naongelea host mwenyewe Japan. Pia ni vizuri kujadiliana kama na Marais wengine .Usimdharau Weah anaweza akawa na kitu Magufuli hana. Magufuli angetumia nafasi hii kuongea na PM wa Japan ana kwa ana. Angefinance hata mradi,who knows?

Naam, mtembea bure siyo sawa na mkaa bure.
 
Akikutana na ri CNN je?
Uliambiwa kuongea na CNN ni lazima uzungumuze kiingereza? Mbona mnaandika kama hamkwenda shule? Baada ya kujadili ya maana kama mleta mada alivyoleta mnajadili upupu. Wewe mwenyewe labda ni maimuna. Sababu kiingereza cha kuandika si cha kuongea.
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350

Lugha ya mawasiliano ndio tatizo!
 
Kufungua /kuzindua barabara ya nyerere alichapia English akahamia kiswahili ,Japan hakuna hzo mambo syo kwamba anapenda Ila lugha tu ndio shida
Yap najua siyo mzuri kuongea kimombo. Ila inaongea na msg inaeleweka hata kama anakosea. Asione aibu. Alitakiwa awepo Japan.
 
Kwame Nkrumah alitaka kujikweza alitaka hata wakao ingia kanisani waseme ''Kwa jina la Baba na la Nkrumah'' Waghana waliogopa slogans za haina hiyo ya kujilinganisha na Mungu
 
Back
Top Bottom