Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Mabeberu wasingekuwa na effects yeyote ile Kama Nkwame angeelewana vizuri na wenzake.Yeye alitaka u monopoly ndo maana ilikuwa rahisi kupinduliwa na akakimbilia Guinea kwa Rafiki yake mkubwa Sekou Toure.

Sasa, unahakika mambo yote huko magogoni na Lumumba yapo sawa??!!, kaziba mianya yote ya wapigaji deals, je wanampenda??, Kazuia kusafirishwa kwa makinikia kiasi kwamba huko kwa mabeberu viwanda vya kuchakata makinikia vimedorora, je mabeberu wanapenda??, tena akienda huko kwao (mkutanoni) si ndiyo itakuwa rahisi kumpata na kumdhuru kwa lolote nk,.!!!

Hayo ni maoni yangu tu, naweza nisiwe sahihi.😁
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.
Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.
Rais Magufuli najua umemtuma Waziri mkuu,ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo waziri mkuu.
Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wako.
Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.
Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda Juzi alikuwa France kwenye G7.Leo yupo Japan.
Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC,akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.
Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.
View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350

Ngoja nimtetee katika hili. Isingewezekana aende kwa kuwa anashughulikia ndege iachiwe. Halafu akienda huko mkutano utafanyika kwa Kiswahili?
 
Nampangia kwa sababu nilimpa kura Yangu. Kikao kama hiki tena Wajapan kabisa anamtuma waziri mkuu? Ona waziri mkuu hata front page haonekani.Rais ana uzito wake jamani.
Mtaishia kuongea hivyo hivyo siku Mwaka na Miaka itapita eti unampangia Rais 😂😂😂😂😂,Pole utajifariji humu jamii forum
 
Labda anaogopa kuzuiwa huko kama zilivyozuiwa ndege zetu..

Ila serious kuna mikutano ya muhimu kabisa, ambayo inashirikisha wakuu wa nchi, ambayo alitakiwa yeye aende na sio kumtuma mwakilishi.. Dhana ya kubana matumizi wakati anasimamia zoezi la kununua wapinzani na kuendesha chaguzi ndogo zisizo na ulazima wowote haina mashiko..

Awe tu muwazi kama ni muoga wa safari ndefu angani..
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.
Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.
Rais Magufuli najua umemtuma Waziri mkuu,ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo waziri mkuu.
Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wako.
Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.
Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda Juzi alikuwa France kwenye G7.Leo yupo Japan.
Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC,akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.
Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.
View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
Ndio maana kuna wawakilishi ndugu yangu... Kilakona aende yeye ataweza? Mbona rais wa korea Kazkazini hajawahi kufika Africa na mambo yake yanaendelea kam kawaida!!!?? Muache Jembe JPM apige kazi
 
So unataka tuishi kama maisha ya korea kaskazini sio?
 
True. Hata kuwashawishi wawekezaji inakuwa ni rahis sana. Muwekwzaji akisikia kauli kutoka kwa rais mwenyewe inakuwa safi zaidi kuliko waziri mkuu
 
Ngoja nimtetee katika hili. Isingewezekana aende kwa kuwa anashughulikia ndege iachiwe. Halafu akienda huko mkutano utafanyika kwa Kiswahili?

Sio sahihi, huko Sauzi wamekwenda wanasheria na kule mkutanoni kuna wakalimani wa kimataifa, kiswahili ni miongoni mwa lugha kubwa dunani hivyo hakuna shida hata akiongea kisukuma au kiha atapata mkalimani tu.
 
Haiwezekani maendeleo ya Africa yakajadiliwe Japan.

Tuna miradi mingi sana, lazima tutumie fedha zetu kwaajili ya hiyo miradi,safari hazina maana.

Nasema uongo jamani?
​
 
Sasa, unahakika mambo yote huko magogoni na Lumumba yapo sawa??!!, kaziba mianya yote ya wapigaji deals, je wanampenda??, Kazuia kusafirishwa kwa makinikia kiasi kwamba huko kwa mabeberu viwanda vya kuchakata makinikia vimedorora, je mabeberu wanapenda??, tena akienda huko kwao (mkutanoni) si ndiyo itakuwa rahisi kumpata na kumdhuru kwa lolote nk,.!!!

Hayo ni maoni yangu tu, naweza nisiwe sahihi.[emoji16]
Kwani mabeberu yakimuamulia mtu hua yanashindwa?

Yaliweza kumchomoa Saddam,Ghadafi,Hugo Chavez,Al-bashir etc sijui yatamshindwa nani yakimuamulia,labda wenye nuclear kama Korea Kaskazini ndo anawapa tabu.
 
Subirini 2020 ataanza ziara kama JK. Huyu sijui mtamuita Carl Peters, maana JK mlikuwa mnamuita Vasco Da Gama
 
Wana maendeleo gani hao akina George Weah??
Maendeleo ya Africa yanaenda kujadiliwa Japan....
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.
Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.
Rais Magufuli najua umemtuma Waziri mkuu,ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo waziri mkuu.
Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wako.
Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.
Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda Juzi alikuwa France kwenye G7.Leo yupo Japan.
Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC,akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.
Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.
View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
 
Ndio maana kuna wawakilishi ndugu yangu... Kilakona aende yeye ataweza? Mbona rais wa korea Kazkazini hajawahi kufika Africa na mambo yake yanaendelea kam kawaida!!!?? Muache Jembe JPM apige kazi

Usimfananishe JPM na kiduku bwana, kiduku alimnyonga mjomba wake kwenye chumba kilichojaa mbwa wenye njaa isitoshe alimuua kaka yake (part brother) nje ya nchi. Kiduku ni habari nyingine.
 
True. Hata kuwashawishi wawekezaji inakuwa ni rahis sana. Muwekwzaji akisikia kauli kutoka kwa rais mwenyewe inakuwa safi zaidi kuliko waziri mkuu
Kabisa yaani. Sijui washauri wake huwa hawamwambii? Majaliwa hawezi negotiate chochote. Maana hadi aulize kwa Magufuli. Refer alipopata wanunuaji wa Korosho. Magufuli alimkatalia hapo hapo.
Hivyo kule Japan Magufuli alitakiwa aende mwenyewe.
 
Wana maendeleo gani hao akina George Weah??
Maendeleo ya Africa yanaenda kujadiliwa Japan....
Naongelea host mwenyewe Japan. Pia ni vizuri kujadiliana kama na Marais wengine .Usimdharau Weah anaweza akawa na kitu Magufuli hana. Magufuli angetumia nafasi hii kuongea na PM wa Japan ana kwa ana. Angefinance hata mradi,who knows?
 
Back
Top Bottom