Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Mfugale fly over si imejengwa kwa hisani ya watu wa Japan, hivi ninyi vijana mna nn haswa? Unataka kusema JK hakupata kitu, leo hii huo msaada wa hao wajapan ndio mmnaojivunia nao ninyi vijana wa CCM kuwa JPM kafanya hivi mara vile pasi na kufahamu hicho mnachokinadi kimetokana na jitihada za mtembea bure ili hali mkaa bure amejifungia zake ikulu akiwa na maifaili...mshaurini asafiri nje la sivyo stress zitammaliza na vile alivyokuwa na roho mbaya sasa hata nuru usoni inapotea mzee wa miaka 58+ lakini anaonekana kama dingi la miaka 90+

Jk kaenda sana vipi kama taifa kuna tulichopata?
tapatalk_1566940332689.jpeg
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
RAIS ANAWEZA KUWAKILISHWA NA HII INAKUBALIKA DUNIANI KUTE MAMA. PIA AGENDA ZA HUU MKUTANO ZITAPITISWA NA KUWA IMPLEMENTED JAPOKUWA RAIS HAKUWEPO. AMINI TU KUWA WAZIRI MKUU BADO NI MWAKILISHA KAMILI WA JAMBO LOLOTE LILE LIWE LA KITAIFA AU KIMATAIFA.
LAKINI JAMBO MUHIMU ZAIDI KATIKA HUO MKUTANO SIYO KU ADOPT TU MAAZIMIO YAKE NA KUYATUPA KABATINI KAMA ILIVYO KWA VIONGOZI WENGI WA KIAFRIKA KINACHOTAKIWA NI KUYATEKELEZA KWA VITENDO KITU AMBACHO RAIS MAGUFULI ALISHAKIANZA NA ANAKISIMAMIA. HIVYO BASI TUUKUBALI UWAKILISHI WA WAZIRI MKUU NA HIZO THEORIES GENERATED KWENYE HUU MKUTANO ATAZILETA ILI TUJAZILIZILIZIE KWENYE PRACTICLE YETU ILIYO KWENYE KASI YA 5G.
 
mbali - kote huko!! kha!!
kwa nini wao wasije Chato?
after all Majaliwa na kabudi wako huko
 
Teb teh teh....

Maendeleo ya Africa yanajadiliwa Japan?
 
Ajui kijapani ndio maana. Kumbuka NI muchimi hasa. Akienda JPM watu wasio zidi 55 watakwenda. Walinza. Dakitari. Watu wa usalama. Watu ikulu mkewe. Batman (mtu wa usafi wa Rais, nguo anazo vaa)
Hata wakienda 100 hakuna tatizo. Ni rais
 
Rais anachaguliwa na wapiga kura kwa maana ya wananchi. Anapo omba kazi ya urais anakwenda kwa wananchi. Wakimchagua maana yake wanampa kazi na wao ndio wanakuwa mabosi wake yeye anakuwa mtumishi. Hata yeye huwa anasema ni mtumishi wa wananchi. Sasa wewe unazuiaje mabosi kumpangia kazi mtumishi wao?
Usimpangie rais wetu
Wewe endelea kutandaaa yeye anapiga kazi
 
Inauma sana hasa kama tunataka maendeleo. Maendeleo hayaji kwa kujifungia Ikulu. Lazima ukapate new ideas na kubadilishana mawazo na wenzako hasa waliokuzidi ili upate maufundi.
Rais Lazima atambue kuna umuhimu wa kuhudhuria mikutano kama hii ya maendeleo.
Ndio maana kamtuma waziri mkuu pia ye siyo muumini wa kutoka nje sana wakati anaomba kura alisema hivyo anatekeleza ahadi alizotoa
 
Naongelea host mwenyewe Japan. Pia ni vizuri kujadiliana kama na Marais wengine .Usimdharau Weah anaweza akawa na kitu Magufuli hana. Magufuli angetumia nafasi hii kuongea na PM wa Japan ana kwa ana. Angefinance hata mradi,who knows?
Nchi moja ina waita nyote kuwa jadili end of the day Japan ina angalia manufaa yake na soko la bidhaa zake hakuna cha bure
 
Back
Top Bottom