kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,623
Unaweza kuongea ukajikuta mwabepande kwenye kiroba ha ha ha ha ha ha ha ha nimecheka sanaHizi thread zingine sio mtego kweli
Unaweza kuongea ukajikuta mwabepande kwenye kiroba ha ha ha ha ha ha ha ha nimecheka sanaHizi thread zingine sio mtego kweli
Mkuu haina shida hivi vi IST tunavyotumia vinatusaidia sana navyo toka japan kuliko wachina walioleta bodaboda zinatumalizia vijanaNchi moja ina waita nyote kuwa jadili end of the day Japan ina angalia manufaa yake na soko la bidhaa zake hakuna cha bure
Huwa nyuma yake kuna ma general ndio mana unaona mission inafanikiwaAkitoka tu,mabaharia wanapindua meli.
Halafu wanaofanyaga mapinduzi ni junior officers unakuta hata captain tu mwenye nyota tatu anaongoza mpango mzima
KUMAMOTO NAGASAKI.KONICHIWAAA
Ateme madini yapo vita vya kiuchumi?Hahahhhaha. Ila Magufuli hapa anakosea. Trump mwenyewe anahudhuria mikutano.
Rais Magufuli huu mkutano wa Japan kwake yeye kama mpenda maendeleo angeitumia nafasi hii kutema madini yake.
By the way kamtumbua nani tena huko SADC?
Uliambiwa kuongea na CNN ni lazima uzungumuze kiingereza? Mbona mnaandika kama hamkwenda shule? Baada ya kujadili ya maana kama mleta mada alivyoleta mnajadili upupu. Wewe mwenyewe labda ni maimuna. Sababu kiingereza cha kuandika si cha kuongea.
Kweli kabisa Dada kifingHuwa nyuma yake kuna ma general ndio mana unaona mission inafanikiwa
Yeah na wanainvest Africa wamesema. Watakuwa no moja kuliko China. Bora Japan wapo Genuine. Hata wakisimamia kitu kinakuwa bora.Nchi moja ina waita nyote kuwa jadili end of the day Japan ina angalia manufaa yake na soko la bidhaa zake hakuna cha bure
Hao wanaoita nchi zilizoendelea ni Mabeberu wambie wao ni majike wanapandwa na mabeberu. Hivi hao wakoloni wangetutawala bila sisi kukubali kutawaliwa? By the way wapo mbele kwa kila nyanja. Tunawahitaji ili tubuild capacity yetu.Umetumwa na mabeberu una fikra za kikoloni
Ongea,usiogope. Hakuna wa kukupeleka huko. Sema dukuduku lako. Rais mwenyewe huwa anaingia JF. Anatusoma nakuambia. Acha sisi tumweleze ukweli,maana kina Kabudi wanamwogopa.Unaweza kuongea ukajikuta mwabepande kwenye kiroba ha ha ha ha ha ha ha ha nimecheka sana
Anatumia I'd ganOngea,usiogope. Hakuna wa kukupeleka huko. Sema dukuduku lako. Rais mwenyewe huwa anaingia JF. Anatusoma nakuambia. Acha sisi tumweleze ukweli,maana kina Kabudi wanamwogopa.
Kabudi ndio anampoteza rais anampa falsafa za nyerere zilizo feli yani wanafanya mambo kama bado tunapigania uhuruOngea,usiogope. Hakuna wa kukupeleka huko. Sema dukuduku lako. Rais mwenyewe huwa anaingia JF. Anatusoma nakuambia. Acha sisi tumweleze ukweli,maana kina Kabudi wanamwogopa.
Siku nyingine useme hivi huko juu umesema "tulikuchagua" nani alimchagua Rais hewa kama huyoNampangia kwa sababu nilimpa kura Yangu. Kikao kama hiki tena Wajapan kabisa anamtuma waziri mkuu? Ona waziri mkuu hata front page haonekani.Rais ana uzito wake jamani.
Kupiga kazi ni kuvuruga hukumu za mahakama na kumfukuza mtu aliyeshinda kesi kisha wakataka kumzika pesa zake? Kupiga kazi sasa kumeingiza gharama kubwa ya kulipia maegesho ya ndege iliyozuiwa huko Johannesburg na pia gharama kubwa kuwapia bili marubani wahudumu, mawakili viongozi wa serikali waliokwenda huko, gharama zingine ni klmlipa mapesa mengi cyprian musiba kutengeneza propaganda za kishamba na kijinga jinga, huko ndiko kupiga kazi?Usimpangie rais wetu
Wewe endelea kutandaaa yeye anapiga kazi
Kabudi ndio anampoteza rais anampa falsafa za nyerere zilizo feli yani wanafanya mambo kama bado tunapigania uhuru
Inauma sana hasa kama tunataka maendeleo. Maendeleo hayaji kwa kujifungia Ikulu. Lazima ukapate new ideas na kubadilishana mawazo na wenzako hasa waliokuzidi ili upate maufundi.
Rais Lazima atambue kuna umuhimu wa kuhudhuria mikutano kama hii ya maendeleo.
Kwame Nkurumah alipinduliwa kwa sababu alitaka kubadili katiba ili awe Rais wa maisha. Hapo ndo alikosea.
Sasa Magufuli hajataka kubadili katiba.
Kupinduliwa siyo rahisi,lazima kuwe na sababu.