Rais Magufuli, kumbuka kuna kesho

Nyie ndo wanafiki mliomzunguka Magufuli, mnamdanganya ili apotee, kisha mje kukaa pembeni, yeye ni nani hata asikosolewe?
Unataka nimsifu tu amekuwa Mungu? Kuongoza nchi Siyo kazi ngumu Kama hekima inatumika lakini Kama unaongoza kimabavu ndo utaona ugumu...
Acha kutumia umbumbumbu kuchangia mada zangu, unadai namchukia Magufuli, kwani ni lazima nimpende?
Kumkosoa mtu ni kumchukia?
Nyie wanafiki ndo mnamchukia Sana Magufuli, siku yakimkuta ya kumkuta mtamkimbia wote, wanafiki wakubwa nyie
Hivi nani anatudangaya kuwa kuongoza nchi ni kazi ngumu? Kuongoza nchi kama kuna ugumu watu wangenawiri kiasi hiko kabla hawajaupata urais? Wangeng'ang'ania madaraka waongeze miaka ya kukaa Ikulu?

Wanafki kama hawa Mkuu wapuuzie tu.
 
Hii inaonesha ni jnsi gani ukiwa Rais Tanzania unakuwa juu ya sheria!
Ndomana mnambiwa piganieni katiba Mpya ipatikane........

Ova
 
Wamezoea vya kumdhulumu hata kule South Africa wamemdhulu mkulima wa kizungu kienyeji kwa njia haramu wakatumia pesa nyingi kuikomboa Ndege badala ya kupunguza Deni halali la yule mkulima
Hahahahahahahaha
 
Muzungu angesikiliza hiyo misemo yenu ya kimasikini reli ya Dar- KGM isingejengwa, English monarchy wanatawala karibia miaka 800 Uingereza hiyo misemo imesemwa sana lkn hadi leo bado wapo .

Angalia maisha yako na familia yako hilo la kukaa Mwanaume mzima ukisubiri Mwanaume mwenzio aliyejituma na kufanikiwa eti aje kushindwa ili msemo wako utimie ashindwe ili ufurahie ni udhaifu, ndo maana wanswake wake zenu wanatembea nje, mko dhaifu sana.

Mwanaume strong haishi kwa misemo, bali anafight, kama unaona Raisi Magufuli hafanyi unavyotaka pambana naye, misemo haikufikishi popote!
Point. Kama huwezi kupanda juu ukabadili uongozi basi tii uongozi.
 
Hili ni taifa la kijinga sana, halafu kuna watu wanashangilia huu upuuzi.
Mtu katuhumiwa tu, haijulikani Kama ana makosa au la, wewe unamwambia akiri kosa lake kisha arudishe pesa na umtoe jela, huo ni ujambazi wa mchana kabisa
Mkuu kasome mabadiliko ya sheria mbalimbali namba 4 ya 2019. CPA imefanyiwa mabadiliko mtuhumiwa anaweza akaomba kwa DPP kupunguziwa au kuondolewa mashtaka kwa makubaliano maalum. Ulaya sheria hii ipo siky nyingi mkuu hapa kwetu ndiyo imeanza.
 
Hivi Rais Magufuli anajua kuwa historia itamkumbuka Kama kiongozi Dikteta ktk historia ya Tanzania?

Madaraka yamemfanya Rais wetu asahau kuwa kuna kesho, mbaya zaidi kuna kundi la wanafiki wanaompamba na kuzidi kumpoteza wamemzunguka ili kushibisha matumbo yao.

Hivi tangu lini mahabusu akawa na hatia?

Mahabusu ni mtuhumiwa tu ambaye anaweza kufutiwa tuhuma na mahakama wakati wowote. Sasa kumshurutisha akiri kosa ili atolewe selo ni uonevu wa hali ya juu, kimsingi msamaha wa Rais ungefanyika baada ya watuhumiwa kukutwa na hatia na kisha kufungwa ndipo Rais angewasamehe.

Sasa unaweza kumsamehe mtu ambaye hajakutwa na hatia bado?

Rais Magufuli kumbuka kuna kesho.
 
Jibu hoja ya mada, usichangie mada ya watu intellectuals wakati wewe ni zero brain, bila kusifia hujala, watu Kama wewe mlipaswa kufanyiwa majaribio na madaktari waliopo mafunzoni maana hueleweki Kama ulitokana na nyani au Binadamu gani wewe

Hakuna mtu intellectual anayeishi kwa misemo ya kijinga na ya kukata tamaa kama hiyo eti kuna leo kesho, kwani wewe hauna leo na kesho?
 
Nina mashaka makubwa na uamuzi wa Raisi si sahihi kamwe.Washauri na wengine hamyaoni na kumshauri Raisi hatari yake? Sisi makapuku tunayaona Kwa nini nyie hamuoni?
Hapa mkuu na mm ndipo huwa nachanganyikiwa sana.how come mambi mengine sisi watu ordinary (kama wanavyotuona pengine less than dat) tunayaona na ku predict impact zake lakin wao wanakua kama hawayaoni hali wamezungukwa na majopo makubwa makubwa ya washauri tena wasomi wabobezi!!?? Kwakwel it frustrates!!!
 
Muzungu angesikiliza hiyo misemo yenu ya kimasikini reli ya Dar- KGM isingejengwa, English monarchy wanatawala karibia miaka 800 Uingereza hiyo misemo imesemwa sana lkn hadi leo bado wapo .

Angalia maisha yako na familia yako hilo la kukaa Mwanaume mzima ukisubiri Mwanaume mwenzio aliyejituma na kufanikiwa eti aje kushindwa ili msemo wako utimie ashindwe ili ufurahie ni udhaifu, ndo maana wanswake wake zenu wanatembea nje, mko dhaifu sana.

Mwanaume strong haishi kwa misemo, bali anafight, kama unaona Raisi Magufuli hafanyi unavyotaka pambana naye, misemo haikufikishi popote!
Apambane naye kivipi wakati ukiingia ulingoni unafungwa kamba miguu na mikono. Acha asemwe tu huku gizani.
 
Pia kesi ya Tanesco kule Hongkong wameangukia pua inahitajika pesa kuwalipa zipo shida nyingi zinamwandama ikiwemo gharama ya yeye kuhamia Dodoma hajui atapataje pesa za kutosha kumalizia miladi mingi aliyoianzisha
Miladi = Miradi
 
Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Hakuna hoja uliojibu.
 
Hakuna mtu intellectual anayeishi kwa misemo ya kijinga na ya kukata tamaa kama hiyo eti kuna leo kesho, kwani wewe hauna leo na kesho?
Hakuna jitu pumbavu na jinga Kama wewe, sijui hata ukoo uliotoka wewe ni ukoo wa watu gani, Magufuli ni Rais Unataka kumfananisha na mimi?
Kesho ya Magufuli imebeba kesho ya Tanzania, na kesho yangu imebeba kesho ya wanangu tu, mimi nitahukumiwa na wanangu nikiboronga ,na Magufuli atahukumiwa na Tanzania nzima, wewe ni mpumbavu, changia mada za wapumbavu wenzako
 
Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Jamaa umemwaga povu bila kuelewa content ya hoja iliyopo punguza upraise team hoja ni kwamba mtu kama hajahukumiwa na Mahakama anakuwa mtuhumiwa tu! mpaka mahakama ithibitishe huna habari huku Africa watu wanabambiana kesi? msitetee ujinga!
 
Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Kama huoni anavyoharibu basi wewe unaharibu naye kwa manufaa mnayojua.
Fikiria tu miaka minne bila nyongeza ya mshahara. Fikiria korosho tegemeo la wakulima na pato kwa taifa vimebuma.
Fikiria mahakama ipo kikatiba mtu anaibuka na njaa zake kutafuta hela kwa aliowabambikia kesi zilizokosa ushahidi. Labda tuingize msamiati wa namna mpya ya Ugaidi wa kimamlaka
Haya wee. Wengine udikteta tuliusoma kwenye vitabu sasa tumebahatika kuushudia kwa machungu moyoni. Tanzania hastahili upuuzi huu wa mtu mmoja na wapambe wake .
 
Katika hili
namuunga mkono rais wangu Magufuri. Wameiba, wanarudisha pesa na kusamehewa. Tabia mbaya sana kupinga kila jema.
 
Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Hakuna jambo lolote lisilo na sheria yake inayotoa mwongozo. Lakini tunashuhudia nchi ikipelekwa kwa matakwa binafsi kinyume na sheria zilizopo.
MTU unamkamata na kumweka ndani kwa makosa yasiyo na dhamana, kisha kwa miaka minne yuko ndani na unasema upelelezi haujakamilika? Ulimkamatia nini in the first place? Baada ya mateso hayo unataka akiri tuhuma zako ambazo we we mwenyewe umeshindwa kudhibitisha!
Watu watakubali kufanya hivyo ili kuepuka na kufia jela bure ambalo ndio kusudio lake bwana mkubwa.
Katika hili amebuki sana na atalipa ubaya huu akiwa hai
 
Mrs. Mr. Miss underwater. JPM kakukosea nini. Amefanya nini ambacho wewe unaona ungefanya bora zaidi. Unadhani kuongoza nchi ni Kama kuongoza haja Zako. Hata haja kuna wakati zinakosa muafaka. Punguza kuhate. Eti. Dikteta. We ungekaa hapa unaandika huu upuuzi. Pole na majanga. Lipa tu kodi. Maendeleo hayajawahi kuja kwa kubembelezana. Mi mtanzania halisi. Najua maisha yetu tunavyopenda kuendesha kimiujiza. Sasa anza kiuhalisia. JPM yuko mbali sana na maisha yako.
Kuandika tu ni shida, sasa pata picha watu wa dizaini yako ndiyo wapambe ama washauri wake, unadhani jiwe atakuwa raisi wa namna gani !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom