Rais Magufuli hula chakula kilichopikwa na mkewe tu

.....si hata wale jamaa trip za nje kila wiki zinekufa, mipesa ya kuwahonga kina wema haipo tena!! Udikteta ni nusu kwa nusu!! Faida na hasara!!
 
Hapo alikuwa anaringa kwa kuwa alikuwa na ufadhili wa serikali. Tujiulize, je hivi ssa anayafanya hayo?
Inawezekana sasa hivi risk imepungua baada ya kutoka ofisini.Kumbuka hata rais akitoka madarakani ulinzi unapunguzwa.
 
"...It seems, in fact, as though the second half of a man's life is made up of nothing but the habits he has accumulated during the first half.,."
 
Ndio maana mh.kikwete alisema akili za kiambiwa changanya na za kwako, pale mwanza alipika mkewe?
 
Kwa Magu kupikiwa na mkewe mimi nampa tano, kwani huo ndio uadilifu kabisaa. Kwanza kunapunguza gharama, na pia mke anakuwa na furaha zaidi ya kumpikia mumewe rais wa nchi.
 
Edward Hosea alikuwa hali chakula chochote ambacho hajaenda yeye mwenyewe kununua Sokoni.mf Nyama lazima anunue Mwenyewe hata akinunua Dereva wake hali.
Maisha ya namna hiyo ni hatari. Mwishowe atataka avute hewa aliyoifanyia filterig kwanza.
 
Back
Top Bottom