Rais Magufuli hula chakula kilichopikwa na mkewe tu

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
305
Baada ya kutambuliwa kama mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa dhihaka, ambaye huwafuta watu hadharani, huenda sasa Rais wa Tanzania John Magufuli ana maadui wengi.

Sasa akiwa ikulu na kama njia ya kuchukua tahadhari, inaripotiwa kuwa Magufuli hula chakula kilichopikwa tu na mke wake.
Kulingana na gazeti la Financial Times ni kwamba hili limedhihirika kutoka na upinzani anaokumbana nao. Lakini hilo halijathibitishwa wala gazeti la Financial Times halijasema ni jinsi gani walipata uvumi huo.


Chanzo: BBC Swahili
 
af12c0bc500f0f0c1e5ec4e053aa976a.jpg
5a2cb10adb9135fa5afe415a3a125e93.jpg
 
Aiseee mbona alisema mapemaaa kabisaaa alipoingia ikulu alisema anapenda na amezoea chakula anachopika wife wake na sio vinginevyo
 
siku ile mke wake kaja msibani MAGU ndo kusema rais hakula siku zile
 
Back
Top Bottom