Rais Magufuli, awashushua TAKUKURU na Watendaji wote wanajipendekeza kwake na kupeleka miradi ya Maendeleo Chato

Amka wewe. Kwa nini hakukataa pendekezo la kujengwa uwanja wa ndege Chatto wakati Geita uwanja upo?

Kwanini hakukataa kuitwa hifadhi Burigi Chato?

Kwanini hakukataa ujenzi wa TRA Chatto? CRDB Chato?

Huu ni mwaka wa uchaguzi bwashee watu watavaa ngozi zote za kondoo wakati ndani ni Chui.

Huyo Mkurugenzi wa Takukuru kafeli kwenye kushindwa kutengeneza kesi dhidi ya Chadema basi.

Hakuna lolote hapo
 
Ameona miradi imefurika Chato anazuga kukataa.

Miradi ya mabilioni imetekelezwa huko, halafu anakataa kaofisi ambako hakazidi hata milioni 100 danganya toto hiyo.
 
Amka wewe. Kwa nini hakukataa pendekezo la kujengwa uwanja wa ndege Chatto wakati Geita uwanja upo?

Kwanini hakukataa kuitwa hifadhi Burigi Chato?

Kwanini hakukataa ujenzi wa TRA Chatto? CRDB Chato?

Huu ni mwaka wa uchaguzi bwashee watu watavaa ngozi zote za kondoo wakati ndani ni Chui.

Huyo Mkurugenzi wa Takukuru kafeli kwenye kushindwa kutengeneza kesi dhidi ya Chadema basi.

Hakuna lolote hapo
Uwanja wa ndege Geita upo sehemu gani?
 
Wakati unafungua Jengo la Tume ya uchaguzi jana, katika hotuba uliyotoa ulinifurahisha sana ulipowashushua watendaji wako, ambao wamepanga kwenda kujenga ofisi ya TAKUKURU huko Chato ambako tayari wanayo hiyo ofisi, ambapo kama ulivyoeleza Mheshimiwa Rais kuwa hao watendaji wako wanafanya hivyo kwa kujipendekeza kwako, jambo ulilolikemea vikali na kusema wazi kuwa halikufurahishi.

Imezoeleka kwa Watanzania wengi kuwa wanapenda mno tabia ya hiyo ya kujipendekeza kwa waheshimiwa wenye nafasi kubwa za kisiasa na wale matajiri na kuamini kuwa kwa kufanya hivyo ndiyo atakuwa amemfurahisha huyo mtu kwa kuamini kuwa siku moja atamkumbuka na kurudisha fadhila kwa kumkumbuka katika ufalme wake!

Hapo tunapata fundisho kubwa kuwa siyo vyema kwa wapangaji wa maendeleo kuendelea kupeleka maendeleo yale maeneo yasiyo na uhitaji ya "waheshimiwa" wakati maeneo mengi ya wanyonge yakiwa na uhitaji mkubwa yakisahauliwa.
It's obvious. Ofisi ya TAKUKURU, tena Chato!! Ulitarajia asemeje?
 
Hukuona bungeni walipitisha ujenzi wa uwanja wa ndege geita?? Au walikuwa wajinga wabunge???
Kwa nini hakukataa pendekezo la kujengwa uwanja wa ndege Chatto wakati Geita uwanja upo? (HAPA UMEMAANISHA TAYARI GEITA KUNA UWANJA WA NDEGE)
 
Watu hawajamsoma tu, ila jamaa ameshaimudu ile nafasi, tutarajie mengi ya kutushangaza, ukitaka kujua hilo angalia hata body language yake.
 
Brigedia jenerali aliposikia kwamba zile nyota zinaweza punguzwa aliweweseka masikini dah..Magu anamisifa sana
 
Amka wewe. Kwa nini hakukataa pendekezo la kujengwa uwanja wa ndege Chatto wakati Geita uwanja upo?

Kwanini hakukataa kuitwa hifadhi Burigi Chato?

Kwanini hakukataa ujenzi wa TRA Chatto? CRDB Chato?

Huu ni mwaka wa uchaguzi bwashee watu watavaa ngozi zote za kondoo wakati ndani ni Chui.

Huyo Mkurugenzi wa Takukuru kafeli kwenye kushindwa kutengeneza kesi dhidi ya Chadema basi.

Hakuna lolote hapo
Dah kapate Bapa kwa bili yangu, unafiki wa kiwango cha lami
 
Ila Magu sometimes anazingua sana,jana kamchamba mbamba wa watu Major General Jonh Mbungo.. Hivi huyu mzee mbona hatabiliki? Last time alimsifu Dkt Mwinyi,kua anaongea vizuri na wanajeshi,ila yeye kampasua Major General tena mbele ya makamera! Mzee Magu kuna siku utavuka mipaka utamsema General Mabeyo!

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Watu hawajamsoma tu, ila jamaa ameshaimudu ile nafasi, tutarajie mengi ya kutushangaza, ukitaka kujua hilo angalia hata body language yake.
Point mkuu, jamaa ameikamata Ile nafasi ipasavyo...Angalie Ile kauli "nisije nikajiuliza hizo nyota nilikupaje" ....Kujiamini kumepitiliza Sana.

Naona ameshapachika chawa wake kila sekta, ndio maana viongozi wa Taasisi wanakua na nidhamu ya woga Sana.
 
Wakati unafungua Jengo la Tume ya uchaguzi jana, katika hotuba uliyotoa ulinifurahisha sana ulipowashushua watendaji wako, ambao wamepanga kwenda kujenga ofisi ya TAKUKURU huko Chato ambako tayari wanayo hiyo ofisi, ambapo kama ulivyoeleza Mheshimiwa Rais kuwa hao watendaji wako wanafanya hivyo kwa kujipendekeza kwako, jambo ulilolikemea vikali na kusema wazi kuwa halikufurahishi.

Imezoeleka kwa Watanzania wengi kuwa wanapenda mno tabia ya hiyo ya kujipendekeza kwa waheshimiwa wenye nafasi kubwa za kisiasa na wale matajiri na kuamini kuwa kwa kufanya hivyo ndiyo atakuwa amemfurahisha huyo mtu kwa kuamini kuwa siku moja atamkumbuka na kurudisha fadhila kwa kumkumbuka katika ufalme wake!

Hapo tunapata fundisho kubwa kuwa siyo vyema kwa wapangaji wa maendeleo kuendelea kupeleka maendeleo yale maeneo yasiyo na uhitaji ya "waheshimiwa" wakati maeneo mengi ya wanyonge yakiwa na uhitaji mkubwa yakisahauliwa.
Sijui nani anaamini kuwa rais hapendi watu kujipendekeza tena anataka wamwabudu na usipofanya hivyo unapigwa chini. Huu ni unafiki mkubwa sana na anafanya haya kwani anajua anaongoza malimbukeni wengi.
 
Back
Top Bottom